Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.

Lakini Vatikani ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.

Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.

Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu.

Vaticani ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini hati hiyo inasema makuhani lazima waamue kwa msingi wa kesi baada ya kesi.

Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".

Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.

Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.

Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu ambariki mtu au watu wanaobarikiwa.

Kardinali Fernández alisisitiza kwamba msimamo huo mpya hauhalalishi hadhi ya wapenzi wa jinsia moja mbele ya Kanisa Katoliki.

NB: Hii ni taarifa ya BBC: Lakini kumbukeni BBC wanatetea dhehebu la Anglican ambalo suala la ushoga ama ndoa za jinsia moja ni kawaida kwa Waingereza. Papa alichosema ni kwamba watu wenye ndoa za jinsia moja ni wenye dhambi kama wengine, isipokuwa wakija kanisani kwa kutubu basi wabarikiwe kama binadamu wengine wenye dhambi wabarikiwe ili wajirudi.
 
Anglikana ya UK ni Sawa kabisa na Katoliki tofauti yao ni Mkuu wa Kanisa tu hawa Anglo-catholic mkuu wao ni Mume wa Camilla!
Usipotoshe, haziko sawa hata kidogo taratibu ni tofauti kabisaaaaaa, tofauti moja ndogo mapadri wao wanaoa, ila wa Catholic hawaoi
 
NB: Hii ni taarifa ya BBC: Lakini kumbukeni BBC wanatetea dhehebu la Anglican ambalo suala la ushoga ama ndoa za jinsia moja ni kawaida kwa Waingereza. Papa alichosema ni kwamba watu wenye ndoa za jinsia moja ni wente dhambi kama wengine, isipokuwa wakija kanisani kwa kutubu basi wabarikiwe kama binadamu wengine wenye dhambi wabarikiwe ili wajirudi.
Hakuna cha dhehebu hili wala lile... Ni hivi wote ni mashetani. Ng'ome kuu ya shetani ni huko ROMA italy... Hao mashetan wakuu wanaojiita ma Papa sjiu mann... Nadhan hli liko waz ....

Kikubwa tuish tu hiz sio kgezo cha kwenda mbinguni. Kher asiye na dini ila anamwamini Mungu wake
 
Usipotoshe, haziko sawa hata kidogo taratibu ni tofauti kabisaaaaaa, tofauti moja ndogo mapadri wao wanaoa, ila wa Catholic hawaoi
Ndio nimekuambia tofauti yao ni Mume wa Camilla na Papa, mengine karibia yote wanafanana

Hata ukisali St Albans na St Joseph mambo ni yale yale labda ile Anglikana ya Wagogo ndio Wana Uluteli Mwingi!
 
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.
Lakini Vatikani ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.
Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.

Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu.
Vaticani ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini hati hiyo inasema makuhani lazima waamue kwa msingi wa kesi baada ya kesi.
Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".
Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.
Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu ambariki mtu au watu wanaobarikiwa.
Kardinali Fernández alisisitiza kwamba msimamo huo mpya hauhalalishi hadhi ya wapenzi wa jinsia moja mbele ya Kanisa Katoliki.

NB: Hii ni taarifa ya BBC: Lakini kumbukeni BBC wanatetea dhehebu la Anglican ambalo suala la ushoga ama ndoa za jinsia moja ni kawaida kwa Waingereza. Papa alichosema ni kwamba watu wenye ndoa za jinsia moja ni wente dhambi kama wengine, isipokuwa wakija kanisani kwa kutubu basi wabarikiwe kama binadamu wengine wenye dhambi wabarikiwe ili wajirudi.
Haya maelezo yana tofauti gani na maelezo ya Kiharage aliyekuwa MD wa TANESCO kwamba hakuna mgao wa umeme isipokuwa kuna upungufu wa umeme?
 
Hayo mapenz ya jinsia moja hata kuyajadili tu inaleta ukakasi, nahisi hapa papa amepotoka.
 
Papa huwa anaongea hivyo makusudi ili ku8fanya dunia ifikirie mambo ya ushoga badala ya mambo ya mke na mme.
Ni subliminal messages.

Hivyo naamini kwa kauli zake tata kuhusu ushoga zimeongeza mashoga wengi duniani. Maana huwa kama zinagawa faraja kwa tabia hizo na washirika wake.
 
Uko sahihi Mkuu, nahisi kuna kitu kipo nyuma ya pazia, manzoni alisema Mungu hawezi kubariki dhambi, leo nini kimebadilika
 
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.

Lakini Vatikani ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.

Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.

Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu.

Vaticani ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini hati hiyo inasema makuhani lazima waamue kwa msingi wa kesi baada ya kesi.

Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".

Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.

Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.

Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu ambariki mtu au watu wanaobarikiwa.

Kardinali Fernández alisisitiza kwamba msimamo huo mpya hauhalalishi hadhi ya wapenzi wa jinsia moja mbele ya Kanisa Katoliki.

NB: Hii ni taarifa ya BBC: Lakini kumbukeni BBC wanatetea dhehebu la Anglican ambalo suala la ushoga ama ndoa za jinsia moja ni kawaida kwa Waingereza. Papa alichosema ni kwamba watu wenye ndoa za jinsia moja ni wenye dhambi kama wengine, isipokuwa wakija kanisani kwa kutubu basi wabarikiwe kama binadamu wengine wenye dhambi wabarikiwe ili wajirudi.
tatizo la kuabudu sanamu muda mrefu unafanana nazo yaan hata kama unaona kitu wazi ww unapindisha ukwel ...aisee waroma wengne sjui hatuekewi nini kwamba kanisa linaelekea kuzimu
 
kwenye kutetea unaandika maneno meeeeeengiii wakati aliyesema alizungumza machache tuu.😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom