Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,285
Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.
Sasa kilichopitishwa na papa francis leo ni ruhusa kwa makasisi kutoa baraka za aina mbalimbali hata kwa watu wenye mahusiano ya jinsia moja. Hajasema kwamba wafungishe ndoa hizo bali wawatamkie baraka hao watu bila kujali uovu wao.