Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 347
Ukweli usiopingika....!
Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana.
lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika.
Pamoja na hayo Katika uchunguzi wangu nilio ufanya kwa asilimia kubwa ndoa nyingi zimekuwa zikivunjika kwa sababu ya kile kipindi cha shida wanachopitia wanandoa bila kujua kwamba hicho ni kipindi cha muda tu. na kwamba hawapaswi kuvunja ndoa yao.
Ieleweke kwamba katika maisha kuna vipindi vikuu viwili kipindi cha furaha na kipindi cha shida sasa bwana unakuta kwenye maisha ya ndoa za siku hizi wao wanapitia kipindi cha furaha hapa ndipo wanatongozana mpaka wanafunga pingu za maisha lakini kikija kile kipindi cha shida basi ndoa hiyo lazima itavunjika.
Jamii inapaswa kutambua kwamba katika maisha kuna kucheka na kulia hata ulipokuwa mdogo kuna kipindi baba yako alikuwa akikuchapa na kugombana naye lakini kuna kipindi baba yako alikuwa akikupa dhawadi na kufurahi pamoja basi ndivyo kwenye ndoa kulivyo kuna kipindi mtacheka kuna kipindi mtalia machozi lakini hampaswi kuachana.
Hata kama utaamua kuachana labda kusema ukatafute mume mpya sijui mke mpya lazima kutukakuwa kuna hiki kipindi cha shida ambacho mtapitia wanandoa mnapaswa kutambua kuna kipindi cha shida na endapo kikiwajia hampaswi kuachana
NAOMBA, Jamii tubadirike kwenye dunia hii hakuna maisha ya raha tu mda wote lazima kuna kipindi utaumwa, lazima kuna mda utapatwa na chunusi au upele, ndivyo ilivyo pia kwenye ndoa lazima kuna kipindi mtapitia shida na matatizo msije mkaachana kwa sababu hata mkiachana haisaidii hata ukienda kwenye ndoa mpya lazima kutakuwa kuna kipindi hicho cha shida tambueni nyie siyo wakamilifu msije mkaachana kwa sababu ya shida au changamoto zozote.
ASANTENI SANA