mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 473
- 1,448
Kama unahisi kabila Lina nguvu kwenye zama hizi na unafikiria kuoa , Moja ya vigezo ulivyojiwekea ni kabila basi mwanamke wa kikinga anawazidi wanawake wengi Tanzania, wanawake wa kikinga ni kweli hawana sura nzuri na maumbile ya kuvutia , lakini Wana sifa za ziada kama hizi.
1. Uwezo wa kusimamia Mali na kutokuwa na tamaa( Kwa sisi ambao mama zetu wakinga tuna record za kutosha vile mama zetu walivyosimamia biashara za familia hata baada ya baba kuondoka au kuyumba, hatuna record ya mke kuua ,kuweka limbwata au kufanya chochote kibaya kisa Mali ) mpe mkinga mtaji kidogo utakuwa mkubwa na Huku hajatepeli Wala kudanganya
2. Uchapa kazi hili sina doubt kabisa kama Kuna wanawake wa chapa kazi kama wakinga, labda yapo makibila yanaweza shindana nao ( labda mchaga, myakyusa, mdali , msafwa na msukuma wanaweza wapa ushindani wa kutosha)'.
3. Heshima, kukosa heshima Kuna Anza na zarau wakinga katika hili wawe wanaume Kwa wanawake hili linafamika hawana zarau kabisa (asikwambie mtu mwanamke mwenye zarau ana Uzi na anachosha Sana ) huenda akawa Bora Malaya anaye jificha kuliko mwenye kuonyesha kibri na zarau
4.Kusimamia malengo mkinga anasimamia na hayumbi (ukimwambia mwaka huu tujibane tujenge mkinga anakufikish katika lengo, mkinga anaishi katika kundi la watu anapesa nyingi na huenda anawazidi wengine lakini hajionyeshi (hii traits inafanya wakinga waonekane wachawi kibiashara na kimaisha kiujumla ,yupo radhi afe na njaa huku anapesa mfukoni ya lengo flani, wakinga wanajua mno kusimamia malengo ,ndani mtakula hata ugali maharage hata miezi mitatu kisa anabana pesa kwa ajili ya jambo flan.
5. Uvumilivu (mama zetu wavumilivu Sana labda wanaweza shindan na wasukuma Kwa uvumilivu (Mkinga hakimbii kisa njaa na umasikini, ugonjwa Hilo lipo wazi ,myanyase uwezavyo Hakimbii ,utaondoka utarudi utamkuta yupo na mradi ulio mwachia. Nk yapo mengi mazuri sana Kwa wakinga japo kabila halina nguvu usije oa mkinga wa mjini ukahisi umeoa mkinga, Mimi nazungumza mkinga wa makete,kuhusu ugonjwa wa ukimwi na zinaa walaumiwe Sana wanaume ndio wanaowapa na kupeleka kwenye ndoa zao