Namna ambavyo ndoa na mwanamke wanavyochangamana

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari

25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu

29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato

33 yrs Old: Kikubwa awe anasali

35 yrs Old: Nikijaariwa yoyote yule niko tayari, kikubwa ukuni tu

40 yrs old: Kikubwa tu niwe mke wa mtu. Walau wanangu wapate hata baba wa kusingizia

45 yrs old: (Akiomba kwa sauti na kwa hisia kali huku analia mbele ya madhabahu). "Ee Mola, nijarie nipate mwanamume yoyote yule uliyeniandalia. Shetani aliye mbele yangu ang'oke kwa hasira kali. Namng'oa ilihali nimeuegemeza moyo wangu mbele ya madhabahu, namba yangu ya simu ni 07XXXXXX. Haihitaji miamala. Aaamen"

50 yrs Old: Mambo yao tuwaachie wenyewe. Mimi yashanitupa mkono
 
21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari

25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu

29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato

33 yrs Old: Kikubwa awe anasali

35 yrs Old: Nikijaariwa yoyote yule niko tayari, kikubwa ukuni tu

40 yrs old: Kikubwa tu niwe mke wa mtu. Walau wanangu wapate hata baba wa kusingizia

45 yrs old: (Maombezi ya kupata mume). "Ee Mola, nijarie nipate mwanamume yoyote yule uliyeniandalia. Shetani aliye mbele yangu ang'oke kwa hasira kali. Namng'oa ilihali nimeuegemeza moyo wangu mbele ya madhabau, namba yangu ya simu ni 07XXXXXX. Aaamen"
Mwingine alinambia Bushdokta wewe hata nikukute na Mwanamke Mwingine sijali we endelea na mambo yako kikubwa tu mimi usiniache.

Yule Mwanamke ana Tatoo nyingi sana kwenye mwili wake ndio nimeweka makazi kama Hamas
 
wewe ni Hamas mtupu.
Huyu Dada hawezi Olewa tena.

Wakati wa Ujana wake alikuwa mzuri sana.

Alikuwa anakula bata na Wazungu tu. Hajawahi kuwa na Mpenzi Mswahili.

Mitoko yake ni UK na Scandinavian tu.

Umri ukasonga, wazungu wakapotea.

Amekuwa kama Wema.

Mimi najipigia tu vya bure maana kama ni Kuhongwa alishahonhwa sana na Wazungu
 
Back
Top Bottom