Wanawake walioko kwenye ndoa hii ni Yenu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Wanawake Walioolewa...✍🏾

1). Kamwe usimkalipie kwa sababu yoyote mumeo. Ni ishara ya kutokuwa na heshima.

2). Usielezee udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki. Matokeo yake yatakurudia wewe. Nyinyi ni walinzi wa kila mmoja, unapaswa kumpamba mwenza wako

3). Kamwe usioneshe tabia ya dharau na hali ya hisia kali unapoongea na mumeo, huwezi kujua atachukuliaje hiyo hali. Wanawake wenye kujikweza na dharau hawana nyumba yenye furaha.

4). Kamwe usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui maisha yao na yake yalivyo. Ukimshambulia mumeo kwa kumlinganisha, Upendo wake kwako lazima utapungua.

5). Kamwe usiwachukie waziwazi au usiwatendee vibaya rafiki za mumeo kwa sababu tu huwapendi, yule ambaye anapaswa kuwaondoa katika maisha yake ni mumeo na si wewe.

6). Kamwe usisahau kwamba mumeo alikuoa wewe, na si msichana wa kazi au mtu mwingine yeyote. Fanya majukumu yako, usimpe Dada wa kazi majukumu uliyotakiwa kuyafanya wewe kwa mumeo.

7). Kamwe usimteue wala usiruhusu mtu yeyote kumpa mumeo umakini, watu wanaweza kufanya kila kitu kingine lakini mumeo ni jukumu lako. Hata kama huko busy, jitahidi ujue mumeo na hali gani na anahitaji nini.

8). Kamwe usimlaumu mumeo akirudi nyumbani mikono mitupu. Badala yake, mpongeze, mpe pole na mhimize kutokukata tamaa.

9). Kamwe usiwe mke wa kutapeli au kutumia pesa na mali hovyo hovuo, jasho la mumeo ni lenye thamani mno kuliko kulichezea.

10). Kamwe usijidanganye kuwa mgonjwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Lazima umpe kama anavyotaka. Ngono ni muhimu sana kwa wanaume, ukimnyima mara kwa mara, ni suala la muda kabla mwanamke mwingine kuchukua jukumu lako. Hakuna mwanaume anayeweza kustahimili kukosa ngono kwa muda mrefu.

11). Kamwe usilinganishe ufundi wa mumeo kitandani na wa mtu mwingine aliyekupa penzi kimasihara au ufundi wa mpenzi wako wa zamani. Nyumba yako inaweza isipate ahueni kamwe ukifanya hivyo.

12). Kamwe usijibu kwa niaba ya mumeo katika vikao au mkutano wa maoni ya umma, acha yeye ashughulikie maswali yanayomlenga ingawa anaweza kujibu kwa niaba yako katika adhara hiyo ya maoni ya umma.

13). Kamwe usipige kelele au kumkabili mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye busara hawafanyi hivyo.

14). Usisahau kuangalia au kuchunguza utanashati wa mumeo kabla ya yeye kuondoka.

15). Kamwe usiruhusu marafiki zako kuwa karibu sana na mumeo.
 
16. Kamwe usimwagize vitu mumeo kisa usharudi nyumbani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom