ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Ugiriki kushtakiwa kwa kumteka Mnyarwanda

    Mkosoaji mkuu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye anazuiliwa gerezani kwa mashtaka ya ugaidi amesema ataishtaki kampuni ya ndege ya kibinafsi ya Ugiriki kwa kuongoza njama ya utekaji na kupelekwa kwake nchini Rwanda. Paul Rusesabagina - ambaye jukumu lake wakati wa mauaji ya kimbari ya Rwanda...
  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana ashikiliwa na jeshi la Polisi baada ya kupanda bawa la ndege

    Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi la Vegas Marekani baada ya kufanya kitendo cha Hatari cha kupanda bawa la ndege ya abiria iliyokuwa inakaribia kupaa. Bawa la ndege ni moja ya sehemu ambazo Binadamu huwa haruhusiwi kukanyaga na ndege zote huwa Zinawekwa maandishi ya tahadhari ya kutofanya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

    Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL, kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato. Hayo yamebainishwa na ofisa wa shirika hilo Mh Kavishe.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ukichukua Vitu hivi katika Ndege pale ikitua tu unakoenda unakuwa Umeiba au Umechukua kile ambacho Umekilipia katika Nauli?

    Nikipanda Ndege ( japo niweke tu wazi sijawahi Kupanda zaidi ya kuziona tu Angani zikipaa ) halafu nikitua kule niendako iwe ni hapa Afrika Kwetu au Mamtoni ( Ulaya ) kisha nikashuka na ile Mito ya Kuegemea iliyoko katika Siti, nikabeba pia na Headphones, Mataulo, Sabuni, Toilet Paper na...
  7. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Picha: Abiria wa ndege miaka ya 60 na 70 walisafiri kwa raha na starehe sana

    Habari wanaJF,
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tukiwekewa vikwazo, tutanunua wapi vipuli vya ndege?

    Tanzania tuna ndege za Bomberdier, Boeing na Airbus. Ndege zetu Ni mpya Sana na Ni nzuri Sana, Tena tulinunua kwa pesa taslim. Kama tujuavyo, usafiri wa ndege Ni wa gharama kubwa, Tena na vipuli vyake ni gharama kubwa, na vinauzwa tu na mzalishaji wa ndege. Airbus ni Ufaransa, Boeing USA, na...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

    Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji. Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania. Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Bujumbura wafunguliwa Burundi

    Kuanzia siku ya Jumapili, Uwanja wa ndege wa Bujumbura umefunguliwa kwa ajili ya ndege zinazofanya safari kimataifa baada ya kufungwa kwa miezi saba kutokana na janga la virusi vya corona. Burundi imekuwa nchi ya mwisho ya Afrika mashariki kufungua anga yake baada ya Tanzania mwezi May, Sudani...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Airbus 220_300 yatua Dodoma kwa mara ya kwanza

    Ndege aina ya Airbus 220_300 leo imetua katika uwanja wa ndege wa Dodoma na kupokelewa na wananchi walokuwa wakiisubiri kwa hamu. Gharama halisi ya tiketi ya ndege kwenda Dodoma sasa ni shilingi 247,000 /-. Ndege hii ina urefu wa ni mita 38.7, na kwa jumla inaweza kuketi abiria 141. Urefu wake...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka

    Baada ya nchi za Zimbabwe, Uganda na Zambia kufungua anga zao zilizofungwa sababu ya Corona Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka Karibuni tupae na Ndege alizotununulia Dkt. Magufuli
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Leila Khaled & 1970 Dawson's Field Hijackings: Komando wa kike kutoka PFLP (Marxist–Leninist Arab Movement) aliyehusika kuteka ndege El Al Flight 219

    Leila Khaled & 1970 Dawson's Field Hijackings: Komando wa kike kutoka PFLP (Marxist–Leninist Arab Revolutionary Movement) aliyehusika kuteka ndege El Al Flight 219 Ndege za abiria zikilipuka baada ya kupigwa mabomu na magaidi wa PFLP katika uwanja wa Dawson huko Jordan. Serikali nyingi hapa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

    Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020. Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

    Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni Watanzania wangapi wanamudu kusafiri na ndege kwa pesa kutoka mifukoni mwao?

    Tumekuwa tukisikia wanasiasa fulani wakijisifu kuleta maendeleo kwa kununua ndege na wengine wakikosoa vikali uamuzi huo. Ukweli unaokubalika kwa makundi yote mawili kuhusu usafiri wa ndege ni kuwa; usafiri wa ndege ni jambo la gharama kubwa na huenda ni mahususi kwa baadhi ya watu tu. Nimekaa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais atakaeshinda: Uza Dreamliner zote, nunua ndege ndogo hata 30 na achana na route za nje

    Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi. Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?

    Jana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege. Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi? Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mlitaka Geita isipate Uwanja wa ndege?

    Nadhani upo wakati ukiwa mwanasiasa uchungu na rasilimali za nchi unaweka pembeni unawaza chama au familia Kwanza. Mhe. JK anatuaminisha kwamba uwanja wa Chato ni kwaajili ya wana Geita, najiuliza kweli mtu atoke Geita town na viunga vyake aende kupanda ndege chato badala ya Mwanza? Kwanini...
  20. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi 2020: kwanini tusiwe na barabara za escalator(lift)kama za kupandia ngazi ktk mall au ktk ndege au maghorofa!

    Stairs escalator tukiapply ktk barabara za pembeni kutoka mtaa mmoja hadi mwingine zitasaidia wazee kwenda makanisani na wagonjwa kwenda mahospitalini Picha chini haijawai tokea bado kukawa na road escalators.
Back
Top Bottom