Picha: Abiria wa ndege miaka ya 60 na 70 walisafiri kwa raha na starehe sana

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,330
2,000
Habari wanaJF,

Retro-747-Cabin-Interior.jpg
7c8e52a97f679b0ce7ef5dfad2972466.jpg
b24601a463306ac31d7b9a2f0a83166e--pan-am-air-travel.jpg
5b4e49f5585cb41d008b4640.jpeg
pg-46-pan-am-1-kelley.jpg
6864f784-3e7e-4acf-8bd7-dfdd84aee19a-1950s unlimited copy.jpg
1491881643343.jpg
a38bdb0d37d1872be7c8fa6960bcf05e.jpg
image.jpg
5785bb4cf681520d2236ef603b5ce03c.jpg
5785bb4cf681520d2236ef603b5ce03c.jpg
Retro-747-Cabin-Interior.jpg
Smoking-Cigarettes-on-the-Plane.jpg
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,321
2,000
Kuna siku nilikuwa oliver tambo Airport na Jenerali Ulimwengu

Sasa katika harakat za kupanga panga mizigo tumetulia muda mchache kabla hatujaanza safari, wale wahudumu wa kuelekeza maeneo ya dharura wanaosimama pale mbele wapo timamu, akasimama Kipande cha Jamaa wa kiarabu ana mzuzu hatare very serious na kwa haraka akaelekea kwny staff carrier kuchukua mzigo wake sijui kuna kitu gani alisahau

Tulitahayari kwa sekunde kadhaa watu wote wa eneo lile hatujui cha kufanya…usafiri ule ni roho mkononi sana kwa sie tuliozoea Kimbinyiko na saratoga
Hii mikitu ioneni tuu hivi, inatishaga ukiwa angani
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,039
2,000
Kuna siku nilikuwa oliver tambo Airport na Jenerali Ulimwengu

Sasa katika harakat za kupanga panga mizigo tumetulia muda mchache kabla hatujaanza safari, wale wahudumu wa kuelekeza maeneo ya dharura wanaosimama pale mbele wapo timamu, akasimama Kipande cha Jamaa wa kiarabu ana mzuzu hatare very serious na kwa haraka akaelekea kwny staff carrier kuchukua mzigo wake sijui kuna kitu gani alisahau

Tulitahayari kwa sekunde kadhaa watu wote wa eneo lile hatujui cha kufanya…usafiri ule ni roho mkononi sana kwa sie tuliozoea Kimbinyiko na saratoga
Kwa hiyo mlijua ni Terrorist sio?
 
Mr English

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
3,165
2,000
Ndege muisikie tu. Kuna times kule juu mnacheza cheza na kuyumba unahisi mimi ndio basi tena hapa nishakufa. Roho juu sana kule angani acheni kabisa.

Kuna siku nimepanda na mama wa Kiislamu ndio next to me. Yaani kajifunika majuba mwanzo mwisho wa safari haongei, hali, halali, kajiinamia tu. Anabadilisha mikao....sijui alikua anatubu yule.

Nyie acheni tu.
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
8,091

Hazizoeleki aiseee..
 
Rylee

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
514
1,000

Sikuwahi kujua kuna wanaume wenye phobia ya ndege. Binafsi hofu yangu ni worse ..ndege.. elevator... kuwa juu sana kwenye majengo marefu. Yote yana similar effect kwangu. Wewe unapatashida kwenye ndege tuu mkuu? Au na hayo mengine
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,334
2,000
Kuna siku nilikuwa oliver tambo Airport na Jenerali Ulimwengu

Sasa katika harakat za kupanga panga mizigo tumetulia muda mchache kabla hatujaanza safari, wale wahudumu wa kuelekeza maeneo ya dharura wanaosimama pale mbele wapo timamu, akasimama Kipande cha Jamaa wa kiarabu ana mzuzu hatare very serious na kwa haraka akaelekea kwny staff carrier kuchukua mzigo wake sijui kuna kitu gani alisahau

Tulitahayari kwa sekunde kadhaa watu wote wa eneo lile hatujui cha kufanya…usafiri ule ni roho mkononi sana kwa sie tuliozoea Kimbinyiko na saratoga
Aliwafanyia kusudi kuwarusha roho.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,334
2,000
Nashukuru siku hizi hakuna kuvuta sigara ndani, zamani safari ingekuwa chungu.
 
Mr English

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
3,165
2,000
Hazizoeleki aiseee..
Ndege raha yake wakati wa kufanya check ins, kuboard pale, kuweka mizigo kwenye staff carrier, kuwatazama wahudumu walivyopendeza vile, inapopaa na kuona unaiacha ardhi mdogo mdogo mpaka juu inakaa level kiasi unaweza kutembea.

Kuna mtikisiko unauhisi kabisa na unaona hapa kweli niko kwenye chombo, unaona pilot anabadilisha setup ya mabawa. Mara kayafunga mara kafungua...

Ila ikitulia, unaweza sema uko sebuleni kwako unaangalia movie. Hata hauhisi kitu kama kinatembea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom