Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,903
Baada ya nchi za Zimbabwe, Uganda na Zambia kufungua anga zao zilizofungwa sababu ya Corona

Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka

Karibuni tupae na Ndege alizotununulia Dkt. Magufuli
 
Back
Top Bottom