Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
=========
MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua
hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake).
Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi...
Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu.
Ukimsikiliza Lissu anasema hakuna mbunge hata mmoja anayejua hata fedha zilizotengwa kununua hizo ndege. Hiyo ndiyo...
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.
Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya...
Habari ndugu zangu, marafiki na watanzania kwa ujumla. Natumai muwazima wa afya tele.
Leo nitakwenda kuelezea umuhimu wa ndege katika taifa letu ambalo sasa linatambulika kimataifa na kupewa heshima kubwa sana baada ya kupata Rais mwenye maono na mpenda maendeleo.
Kabla sijaanza kuchimba kwa...
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais...
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
Tundu Lissu ameishiwa sera ni bora akae kimya kuliko kuongea uongo na upotoshaji pindi anapoomba kura kwa wananchi katika kampeni zake.
Leo akiwa katika kampeni zake Makambako, Mkoani Iringa amewaeeleza wananchi kuwa uwanja wa ndege wa Mpanda kwa sasa haufanyi kazi kwamba ulijengwa kwasababu...
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za...
Hata kama ni 'Mtu kwao',hii sasa imezidi. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa,Hayati Samwel Sitta alianzisha na kusimamia ujenzi wa Ofisi ya Spika huko Urambo,Tabora. Nyumbani na jimboni kwake. Ofisi ikajengwa.
Sasa unajengwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa huko Chato,Geita. Nyumbani na lililokuwa...
Yaani Kawe CCM imetuletea Mgombea mbinafsi sana. Gwajima nilikutana naye Dallas, Texas kwenye kanisa la Umoja church miaka miwili hivi imepita.
Alikuja US kununua ndege binafsi na kuuza vitabu. Alituambia tayari ana helkopta mbili sasa cha kushangaza ndege ya nini kwa kutumia pesa za sadaka...
Wana JF,
Ukitaka kujua aina za wachungaji tuliona basi unasubiri tu mudam ahadi lukuki za Askofu gwajima sijawahi ona hata mojam alisema atafungua chuo cha marubanim watu waje kujifunza kuendesha ndegem Alisema mwakani ataingiza machine za kufua umeme ambazo zitamaliza kabisa tatizo la umeme...
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni...
Saudi Arabia announced Wednesday that it would allow any flights going to and from the United Arab Emirates to fly over its territory, a move that would give Israel access to some of the kingdom’s airspace for the first time.
The announcement, made at the request of the United Arab Emirates...
Ndege huyu hulia usiku tu mbele ya nyumba nayoishi, haswa usiku wa manane kama huu. Nimejiaribu kutoka nje kumuangalia lakini simuoni zaidi ya kuona macho yake yanang'aa nikimmulika mwanga wa tochi usawa wa sauti inakotokea.
Macho yake yanakuwa mfano wa picha hiyo nikimmulika
Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli?
Sasa hivi yupo ITV.
===
Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali.
Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu...
KWANINI TANZANIA INUNUE NDEGE?
Na Bwanku M Bwanku
Kuingia madarakani kwa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt John Pombe Magufuli kulifungua ukurasa mwingine mpya kwenye sekta ya usafiri wa anga baada ya nguvu kubwa ya Serikali kulifufua shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ambalo kwa miaka...
Wale wafuasi wa CCM tunaomba mtuambie, ilani yenu ya chama inasemaje kuhusu ndege!
Huwa nasikia sikia tu "ilani ya ccm", lakini binafsi sijawahi hata kuisoma. Huwa naona kama ni kijarida cha kitapeli tu.
Tunaomba kufahamu, hiyo ilani yenu inazungumza kuhusu ndege tu kuanzia kurasa ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.