ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

    Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iran yawakamata walioidungua kimakosa ndege ya Ukraine

    Serikali ya Iran imetangaza kuwakamata watu kadhaa waliohusika kulipua kombora kimakosa na kuangusha ndege ya Ukraine. Tukio hilo lilisababisha watu wote 176 waliokuwapo ndani ya ndege hiyo kufariki wakitokea Uwanja wa Ndege wa Tehran. Tangazo hilo limetolewa leo Jumanne Januari 14 muda mfupi...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mkia wa nguruwe umefungashwa na kinda la ndege, kazi yake nini?

    Na vitu vya aina hii huwa nakutana navyo kwenye kila site mpya ya ujenzi ninayoenda, huwa vinakazi gani hivi vidude? Nimeambatanisha picha na video.
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

    Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao. Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
  6. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya Kutunguliwa Ndege Ya Ukraine

    US kama wanao uwezo wa kutumia technolojia kuongoza hizo ndege za Boeing, maana yake ndege hiyo ya Ukraine waliona ni target nzuri kwa sababu: 1. Ilikuwa na raia wengi wa Irani 2. Vifo vya wa Iran wengi kungepunguza uungwaji mkono wa serikali ya Iran, maana wananchi wanakuwa na hasira za kufiwa...
  7. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

    Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran. Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo. Ndege ya Ukraine...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha ndege Chato

    Poleni kwa majukumu wakuu. Kiroho safi naomba niende kwenye kichwa cha habari ambapo ningependa kuuliza kwa ambaye ana takwimu sahihi kuhusu kiasi cha ndege zinazotua uwanja wa Chato iwe per day au per week nk. Nauliza kwa nia njema kabisa kwavile ningependa kujiwekeza huko katika sekta ya...
Back
Top Bottom