ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

    Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege. Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio...
  2. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Sumaku ina pande mbili zinazovutana na zinazokinzana sasa zikiwekwa mbele ya basi,meli ndege vyombo havitagongana

    Nimeapply sayansi ya shule ya msingi darasa LA tano kuona kama theory ya elimu yetu inafanya kazi,kwa kiwango maalumu cha usumaku kikiwekwa mbele ya vyombo hivi basi vitakapotaka kugongana vitashindwa Bali vitapishana kwa sababu ya upishanisho wa sumaku hasa meli,je wanasayansi na fizikia...
  3. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ndege unanunua cash money, watumishi wa umma na wakulima unawakopa

    Wasalaam. Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa CCM ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema. Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KLM na Etihad miongoni mwa ndege zilizopigwa marufuku kuingia Nigeria

    Safari za ndege ndani ya Nigeria zilirejelewa Nigeria imepiga marufuku mashirika ya ndege kutokanchi kadhaa kuhudumu nchini humo kuanzia Jumamosi hii. Mashirika kumi ya ndege yamezuiliwa kuhudumu- Ikiwemo Air France, KLM kutoka Uholanzi, Lufthansa kutoka Ujerumani, na Etihad Airways ya Milki za...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni Mwanza uambatane na Ahadi za ujenzi wa Barabara njia nne zinazoingia jijini na ukamilishaji wa jengo la abiria uwanja wa ndege

    Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk. Hivo uwepo wa miundo...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
  7. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Precision Air yafuta Safari zote za kwenda Kenya licha ya Kenya kuruhusu Safari zake

    MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ____________ Shirika la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kulikuwa na ulazima gani kununua ndege za kibiashara kwa cash kuliko kununua matrekta na kuyagawa kila kijiji ili kulitupa jembe la mkono?

    Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi. Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

    Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu au mtu ana hisa katika kiwanda cha kutengeneza ndege au kuna manufaa fulani ya kibinafsi wanayapata?

    Inafika hatua naanza kujiuliza hivi kwasababu sioni ni kitu gani au ni faida gani inayopatikana kiasi cha kushawishi watu hawa kuendelea kununua hizi ndege. Unawezaje kuendelea kuwekeza hela nyingi katika biashaara ambayo inakutia hasara au huoni faida yake? Nawaza sana juu ya hili
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania COVID-19 yaendelea kuleta kizaazaa: Tanzania yazuia kampuni tatu nyingine za ndege kutoka Kenya kutua nchini

    Mgogoro wa majirani unazidi kupamba moto, Covid19 inaendelea kudhihirisha nyufa nyingi zilizokuwepo kwenye ukuta wetu. Leo mamlaka ya anga imeshusha rungu jingine Kenya kwa kuzuia kampuni tatu zaidi baada ya Kenya Airways ya awali. ======== Kampuni tatu zaidi za ndege kutoka Kenya zimezuiwa...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A

    Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  13. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Wananchi Igingilanyi walia na Serikali kuhusu malipo duni ya fidia za nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Iringa

    Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vibaka kwenye ndege hasa Ethiopian na Kenya Airways

    Inakuwaje wanaJF! Yani kuna watu wanawaibia abiria Wenzao hadi kwenye ndege? Matukio ya wizi kwenye ndege ikiwa angani yanaripotiwa sana hasa Ethiopian airlines na Kenya Airways zinazoenda Dubai ama gulf states na China. Vibaka wengi wamebambwa na flight attendants wakiwa search abiria...
  15. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ndege aina ya Concorde

    Moja kati ya mafanikio ya karne ya 19 yalikua ni hii ndege. Makubaliano ''concord" kati ya serikali mbili ya Uingereza na Ufaransa ndio yaliozaa wazo la kutengeneza hii ndege na wakakubaliana waipe jina la kifaransa la Concorde yaani maana yake makubaliano(concord). Ilikua na uwezo wa kubeba...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli flyovers na ndege zetu hazina msaada wowote kwa mwananchi anayeishi Nanyamba au Kyabakari?

    Salamu kwenu, Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa watanzania waishio vijijini, mikoani huko. Ukiangalia hizi hoja, unapata picha mbili. Ya kwanza ni kuwa...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM wapewe elimu kuelisha wananchi manufaa ya ununuzi wa ndege

    Kuna baadhi ya makada wapewe mafunnzo namna ya kunadi mazuri ya yaliyofanywa na awamu hii ya 5
  18. CHE GUEVARA-II

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya nauli ya ndege Tanzania (Dar) - Namibia (Windhoek)

    Wadau, habari zenu? Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek). Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one way, go & return)? Wakala gani anaweza kunisaidia? Contact number ya wakala? Assuming all other...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walidhani wananchi wanataka ndege kumbe wananchi wanataka uhuru kwanza

    Kati ya Jambo linaloigharimu CCm kila siku Ni kuwekeza kwa Mwenyekiti na dola kuliko kuwekeza kwa wananchi. Wananchi kwa namna Hali ilivyo wanatambua hata ungekuwa na utajiri mkubwa kiasi gani lakini watu wakakosa Uhuru ipo siku utajiri huo utapotea. Tunajenga vitu na ni Jambo jema ila...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

    Nimefungua nimeona trending route Ni dar ,Kilimanjaro to all over the world. Nimefikiria ndugu zetu Kenya si watashikwa na tumbo la kuhara, kwakweli tumefungua dunia
Back
Top Bottom