nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizi kozi zenye soko katika ajira nchini

    Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi. Electronics& communication (Self) Computer &IT Civil Eng, Electrical Eng, Mechanical Eng, Biomedical Eng, MD(Medical Doctor) Med laboratory (Bach), Pharmacy, Nursing, Clinical Medicine...
  2. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama zenye mamlaka (jurisdiction) ya kusikiliza kesi za ndoa nchini Tanzania

    Mahakama za kesi za ndoa. Habari mpendwa msomaji! Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani. Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo: -Jinsi ya kufungua shauri au kesi ya ndoa. -Masharti kabla ya kufungua kesi ya ndoa. -Ukomo wa muda wa...
  3. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tathimini ya taratibu za uendeshaji wa shughuli za biashara nchini Tanzania

    Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miili ya walioagizwa kufunga hadi wafe nchini Kenya yafikia 372

    Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na Mungu ukiendelea Waliookolewa wakiwa hai hadi sasa wamefikia 95 huku uchukuaji wa Vinasaba ukiwa...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania EWURA wanatekeleza miradi gani ya maendeleo hapa nchini

    EWURA- Energy and Water Utilities Regulatory Authority na kwa kiswahili ni Mamlaka ya uthibiti ya Nishati na Maji kila malipo ya huduma hizo kutoka kwa watumiaji wote inakusanya 1% kama tozo. Hizi ni fedha nyingi sana na hasa ukizingatia uwingi wa watumiaji wa umeme, gesi na maji. Aidha EWURA...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Misingi, Changamoto na Utekelezaji Wake Nchini Tanzania

    UTAWALA WA SHERIA: MISINGI, CHANGAMOTO NA UTEKELEZAJI WAKE NCHINI TANZANIA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Utawala wa sheria ni dhana muhimu katika jamii yoyote inayotaka kuendelea na kuwa na amani. Utawala wa sheria unamaanisha kuwa kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria, kanuni na...
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

    Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa.... Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021! Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya... Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
  9. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ajira Lukuki za Vijana Kupitia Sekta ya Utalii Nchini Tanzania

    Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  12. Clark cian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo cha Azolla kiwe chaguzi la kwanza kwa wakulima na wafugaji nchini

    UFUNGUZI kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula inavyokua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi ,sasa basi kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia gharama nyingi katika upatikanaji wa vyakula hivyo kwa ajili ya mifugo yao;hivyo...
  13. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

    Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba. Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila...
  14. dogman360

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  15. Kulupango

    JamiiForums Tanzania SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
  16. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya kihalifu nchini tishio kwa usalama wa raia na mali zao

    Ukatili na matendo ya unyang'anyi kama vile panyaroad, tatu mzuka na uhalifu wa aina nyingine nchini tayari ni tishio kwa usalama wa raia na mali zao. Hatua za kuudhibiti naona ni kama zinaenda kwa zimamoto huku vijana wengi wakizidi kujiingiza kwenye u-panya road, tatu mzuka, na matendo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania MoU kati ya Tanzania na jimbo la China, bidhaa nyingi kuingia nchini

    MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
  18. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay ashika nafasi ya pili, 10K Atlanta nchini Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku chache zilizopita alizokimbia Boston B.A.A 10K na kutumia muda wa dakika 27:49. Mashindando hayo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kufanya utatuzi wa ajira nchini

    Habari zenu watanzania. Ninajivunia kuwa mtanzania, pia ninayo furaha kupata fursa hii, ili na mimi nitoe mawazo yangu katika ujenzi wa nchi yetu. Asanteni sana mlioandaa shindano hili, siyo tu kwamba kujishindia zawadi, bali, tuna tunatazamia mabadiliko chanya, na uwajibikaji katika sekta...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya muonekano wa tovuti ya TCRA yameathiri upatikana wa ripoti za mawasiliano nchini

    TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu, Hili nalo mkaliangalie Uzi tayari
Back
Top Bottom