nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Mkataba wa Dubai na Tanzania kuhalalisha Kambi 88 za Masetla wa Kiarabu nchini Tanzania?

    Hofu tuliyo nayo dhidi ya Mkataba wa Tanzania-Dubai inao msingi thabiti katika ubaya unaoambatana na historia ya "makoloni ya walowezi wa kigeni" katika Afrika. Kwa mujibu wa "TPA Handbook, 2019-20," kwenye ukurasa wa tisa, TPA inasimamia bandari 88 zifuatazo: Bandari 18 zilizo katika Ukanda...
  2. BARD AI

    Muhimbili na Mloganzila kufikisha Wagonjwa 81 waliopandikizwa Figo nchini

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), inatarajia kufanya upandikizaji figo kwa wagonjwa sita ifikapo Julai. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 30, 2023 na Mkuu wa Kitengo cha Figo Muhimbili, Dk Jonathan Mngumi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo. Hadi sasa, wameshapandikiza...
  3. Tukuza hospitality

    SoC03 Serikali Iwalinde Wafanyabiashara na Wajasiriamali Wadogo Nchini Tanzania

    Utangulizi Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kampuni ina kiwanda cha kuchakata ngano, na inauza ngano iliyokobolewa na...
  4. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  5. I

    Wakimbizi wa Ukraine wapo kambi gani hapa nchini?

    Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine. Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile...
  6. Blasio Kachuchu

    Serikali, Wadau waipongeza Benki ya CRDB kukusanya Tsh. Bilioni 700 kuwawezesha wajasiriamali nchini

    Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (wapili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa...
  7. cupvich

    SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mnzava Asisitiza Kuwa na Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ili Kumaliza Migogoro ya Ardhi Nchini

    MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujali maisha ya wananchi wa nchi hii. Maazimio haya ni ushahidi wa namna...
  9. R

    SoC03 Jinsi application ya simu inavyoweza kutatua tatizo la ajira nchini

    JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION Utangulizi Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
  10. Roving Journalist

    Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
  11. W

    SoC03 Umuhimu, hatua za kukuza na hasara zitokanazo na teknolojia nchini Tanzania

    Teknolojia ni matumizi ya maarifa, mbinu, mchakato, zana, na vifaa ili kubuni, kujenga, na kutumia bidhaa au huduma kwa lengo la kutatua matatizo, kuboresha maisha, na kufikia malengo ya kibinadamu. Inahusisha matumizi ya sayansi, uhandisi, na maarifa mengine ya kibinadamu kwa lengo la kuunda...
  12. G

    SoC03 Kushuka Bei Mahindi Nchini

    Kushuka kwa bei ya mahindi nchini ni suala ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka athari kubwa kwa wakulima na jamii kwa ujumla. Wakulima wanapata hasara kubwa kutokana na kupungua kwa bei ya mahindi, huku wafanyabiashara wakipata faida kubwa. Kwa kuwa mimi ni mkulima na mjasirimali...
  13. BARD AI

    Visungura, Shisha vyazidi kuteketeza Vijana nchini

    Idadi ya wanaugua Magonjwa hatari yasiyoambukiza ikiwemo Kiharusi, Shinikizo la Juu la Damu, Maradhi ya Moyo imetajwa kuongezeka kwa kasi nchini ambapo wengi wao ni wenye miaka kati ya 20 hadi 40, Madaktari Bingwa watoa onyo Serikali ichukue hatua za haraka kudhibiti biashara ya Pombe Kali za...
  14. R

    Maandamano ya Chawa wa Mama ni sahihi, ila ya kupinga huduma mbovu nchini ni kupigwa virungu!

    Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu! Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  16. Saa 7 mchana

    Kazi za kubeba boksi nchini Malta zipo?

    Wakuu mliopo mjuu naomba mtupe ndondondo za maisha ya kujitafuta kwa njia ya kupiga box visiwa vya malta. Kazi za aina iyo zipo? Kama zipo za je mgeni anaweza kutumia makeke gani kuzipata? Na je mazingira ya kuzamia katika visiwa hivyo yanaruhusu? Je malipo yake inakuwaje kulinganisha na...
  17. Roving Journalist

    Tanzania yafungua rasmi Ubalozi wake Nchini Indonesia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesema kufunguliwa kwa Ubalozi huo...
  18. BARD AI

    Muhimbili yasema Robo 3 ya matatizo ya Ugumba nchini yanahusu Wanaume

    Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye. Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
  19. ChoiceVariable

    TPDC kushirikiana na Kampuni ya China kuwekeza kwenye Gas

    Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la TPDCTZ kushirikiana katika uwekezaji katika sekta ya gesi nchini. Aidha, Kampuni ya CNOOC imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine katika uwekezaji wa ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta kutoka Uganda hadi...
  20. L

    Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
Back
Top Bottom