Matukio nchini Holland na Ireland yashitua Waliberali

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
JAMHURI YA IRELAND

23 November 2023
Dublin, Jamhuri ya Ireland

Wananchi waingia mitaani kufanya vurugu kubwa dhidi ya serikali yao ya mrengo wa kiriberali wakidai inafungua milango na kukaribisha wahamiaji bila kwanza kusikiliza maoni ya raia wa nchi ya Ireland .

1700937807030.png

Picha : Polisi wakipambana na raia mjini Dublin, nchini Ireland.

Vurugu hizo zilianza baada ya taarifa kuzagaa ktk mitandao ya kijamii kuwa kuna shambulio la kisu lililotokea katika shule moja ambapo mwanamume mmoja alimshambulia mama mmoja na wanawe wadogo wawili wa umri wa chini ya miaka 10.

Mtu huyo aliyefanya shambulio inasemekana ametokea nchi ya Algeria na hivyo wananchi wenye hasira kali walivamia mitaa na kuchoma moto magari ya Polisi na majengo kadhaa kwa kulaumu serikali na vyombo vya dola kuwalinda wahamiaji wanaoleta tamaduni na desturi zisizokubalika Ireland kwa kuruhusu maelfu ya wahamiaji. Pia wakalaumu taarifa za awali za Polisi kutoweka wazi ni nani kutoka wapi amefanya shambulio hilo .
1700939224885.png
Waziri Mkuu wa Ireland Bw. Leo Varadkar alisifu hatua za watu waliosaidia kusitisha shambulio hilo kwa kumdhibiti mshabulizi huyo mwanamume

"Ilikuwa ni kitendo cha kutisha cha vurugu - na mawazo yetu yako kwa watoto waliojeruhiwa, pamoja na wapita njia wa kishujaa ambao walijitia katika hatari kujaribu kuwalinda, watoto pia mama yao.

Lakini waziri mkuu Bw. Leo Varadkar aliwakasirisha raia wa Ireland kwa kauli yake kuwalaani waliojitojeza kufanya vurugu ambao aliwaita ni wa mrengo mkali wa kulia, wakati watu hao waliofanya vurugu wao wanajiona ni walinzi dhidi ya wahamiaji wageni wenye ajenda ya kuua tamaduni, desturi na imani za watu wa Ireland.

Jamhuri ya Ireland ilipata mamlaka yake baada ya kupambana kwa miaka mingi takribani 100 hadi mwaka 1921, na kuzitia moyo nchi kama South African Republic huru 1910 , India 1919 kuiga vuguvugu la Republic of Ireland kujinasua kutoka kukaliwa na ma settler

Hivyo raia wa Jamhuri ya Ireland ni watu wanaojivunia utaifa na uraia wao walioupambania na kuwashutumu viongozi wenye merengue ya kiliberali kusaliti historia na utamaduni wa Ireland.

Uholanzi
Nako nchini Uholanzi nchi ambayo imekuwa kimbilio la wahamiaji wengi, kupitia uchaguzi wameamua kumchagua Bw. Geert Wilders kuwa waziri mkuu mpya baada ya chama chake kupata viti vya ubunge vya kutosha kuunda serikali ya umoja.

1700938035869.png
Geert Wilders anayejulikana kwa mtindo wake wa kipekee wa nywele wa rangi ya platinamu na kauli zake kali za kupinga Uislamu na uhamiaji, ameshawishiwa na uchaguzi wa Uholanzi hadi mahali anapopenda zaidi kuwa: katikati ya mamlaka ya maamuzi .

Katika tetemeko la ardhi la kisiasa, chama cha Wilders’s Freedom kilipata kura nyingi zaidi katika uchaguzi wa wabunge nchini humo, na kumfungulia njia mwanasiasa huyo kuchukua nafasi muhimu katika kuunda serikali ijayo baada ya kampeni iliyotawaliwa na mjadala kuhusu uhamiaji.

Kutokana na kuuelezea Uislamu kama "itikadi ya utamaduni uliodumaa" na kuwaita Wamorocco "wachafu", Wilders, ambaye mara nyingi hulinganishwa na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kwa matamshi yake ya kichochezi na matumizi ya mitandao ya kijamii, kwa muda mrefu amekuwa mtu maarufu katika Ulaya. mandhari ya kulia.

Alizaliwa mwaka wa 1963 kusini mwa Venlo, karibu na mpaka wa Ujerumani, Wilders alikulia katika familia ya Kikatoliki pamoja na kaka yake na dada zake wawili. Aliingia katika siasa akiwa mwanachama wa Chama cha People’s Party for Freedom and Democracy (VVD), lakini akaacha kile alichokiona kuwa msimamo mpole wa chama hicho kuhusu Uislamu na uhamiaji.

Taifa la kifalme la Uholanzi nalo lina historia ya kuwa mojawapo ya mataifa makubwa yaliyotawala mapande makubwa ya nchi za mbali huko Indonesia, Marekani ya Kusini kama ilivyokuwa Portugal, Spain walipoigawa dunia ktk pande mbili yaani moja magharibi huku Bara la Marekani yote kasoro Brazil ya mashariki kuwa makoloni ya Spain na Mashariki yote ya dunia yaani bara Afrika, Asia ya Kusini, India kuwa chini ya Portugal. Ndiyo maana Brazil ni nchi pekee ya Marekani ya Kusini inaongea lugha ya Portuguese.
1700967164833.png

Kabla mataifa mengine ya Uingereza na Uholanzi kuibuka na wao kujimegea makoloni kupiti vita na mataifa hayo ya Spain na Portugal.

Hivyo manung'uniko ya raia ya Uholanzi ni kuwa sasa nchi yao kidogo kidogo imeanza kuvamiwa na wageni, hivyo wameamua kupeleka ujumbe kwa serikali na vyama vya kisiasa vya kiliberali kuwa hawaafiki kuvamiawa nchini kwao kupitia sera za viongozi wachache waliopo madarakani.
 
Portugal, Spain walipoigawa dunia ktk pande mbili yaani moja magharibi huku Bara la Marekani yote kuwa makoloni ya Spain na Mashariki yote ya dunia yaani bara Afrika, Asia ya Kusini, India kuwa chini ya Portugal.

Decree / tamko la Papa Alexander VI kupatanisha mataifa makubwa duniani mwaka 1494 ya Portugal na Spain :

Maagano /Treaty of Tordesillas 1494

1700940532735.png

Before the treaty, pope Alexander VI created a demarcation line: Spain had rights to newly discovered lands to the West of the line, while Portugal had rights to the East. The treaty altered the location of the demarcation line, which allowed Portugal to claim the coast of Brazil, discovered by Pedro Álvares Cabral.
 
... Ulaya wameanza kuzinduka toka usingizi wa pono!

Dunia sasa imeanza kutikisika, kila nchi ikitaka kukaa usawa wanaoukubali wao wenyewe raia badala ya kutekwa nyara na wanasiasa wachache
 
Raia wa Ireland mwenyeasili ya Burundi afunguka kinachoendelea


View: https://m.youtube.com/watch?v=zpupaubN5Po

comments za watu kufuatia mahojiano haya wamkataa dada yetu na kusema ni raia wa makaratasi wakati wengine ni raia wa asili haswa, na hawahitaji karatasi yoyote... walaani dada kujisifia asili yake badala ya nchi yake mpya ya ulaya... na kuwakebehi raia asilia ambao hawajasoma kama yeye mhamiaji

Dada huyo aliyewasili nchi Ireland akiwa mtoto pamoja na wazazi wake mwaka 1997 kutoka Burundi asema aona mabadiliko makubwa Dublin kwa vurugu zinazotokea
 
Naona wahamiaji hawana shida sana, wawe waislam au wakristo, shida ni pale baadhi ya watu wanaotaka kuanzisha dini zao katika mataifa ya Ukata na wakati kwao ni marufuku kuanzisha dini za kigeni katika mataifa yao.
 
Kabla mataifa mengine ya Uingereza na Uholanzi kuibuka na wao kujimegea makoloni kupiti vita na mataifa hayo ya Spain na Portugal.

kampuni ya VOC (Verenigde Oostindische Compagnie) ya Uholanzi - Part company, Part state



Historia ya wakoloni wa Udachi yaani the Netherlands al maarufu Uholanzi miaka ya 1600 waliunda kitu kampuni tajiri kupita zote ulimwenguni. Kampuni hiyo iliitwa The Dutch East India Company VOC, Verenigde Oostindische Compagnie).

Iliasisiwa baada ya msuguano baina ya Uholanzi iliyokuwa koloni / jimbo inatawaliwa na Spain kujinasua kutoka kwa nchi kubwa ya kifalme ya Spain.

The Dutch East India Company VOC, Verenigde Oostindische Compagnie) agenda zao ni za kikoloni na mikataba yote inayoingiwa imo kwa minajili ya kuwakilisha watawala wa nchi zao ndogo kidiplomasia, kijeshi, kutwaa ardhi nchi za mbali na kuingia mikataba kama vile wao (kampuni) ni nchi hasahasa na nchi duni za dunia hii.



In the mid-1500s, the Netherlands revolted against its then-ruler, Spain. The ensuing conflict lasted nearly eighty years and dovetailed with several major European wars. While Spain continued to press its claim to the Netherlands, the country successfully established itself as a sovereign state, the Dutch Republic, by the end of the 1500s.

Basically, the Netherlands was under threat. It had just declared its independence from Spain in 1581, forming the Dutch Republic. Quite an ambitious move, considering that the Spanish had the force of half of Europe behind them at the time.

Given this vulnerability, you can see the advantages of drawing wealth from outside the tiny Dutch Republic and using it to shore up the newly established country against foreign control (while, of course, controlling other countries — but we’re not talking about morality or even ideological consistency here).

This gave the wealthy merchants of the Netherlands the opportunity to expand their trading to distant shores. In the late 1500s, Dutch trading companies sponsored expeditions to Asia, particularly targeting Indonesia. There was immense demand in Europe for the spices produced in Indonesia, so whoever gained control of the Indonesian spice trade stood to make an immense profit.

In 1602, the Dutch government pressed separate trading companies to unite into the Dutch East India Company, or the VOC. The government granted this united company an official trade monopoly, meaning that no other Dutch company could compete with it for trade in Southeast Asia especially
Mauritius, South Africa, Indonesia, Taiwan, Japan, Malaysia, Thailand, and Vietnam.


Not all of these locations were the sites of permanent settlements or even permanent trading posts: but listing them all here gives us a sense of how massive this company was.

The VOC used an innovative new business model: the joint-stock company. Through this system, wealthy investors could purchase a share of the company and get a proportion of the company's overall gains or losses. As a result, the loss of one ship would not deeply impact individual investors, since their investment was spread over the entire fleet.

The VOC grew quickly after its establishment. The following is a cursory timeline of the first decade of the VOC:



DateEvent
1603The VOC establishes its first permanent trading post in Indonesia on the island of West Java
1609The VOC seizes the Portuguese trading fortress in Pulicat, India. That same year, the VOC develops a trading post on the island of Hirado in Japan.
1611The VOC establishes a trading post in the major Indonesian city of Jayakarta.
Over the next several decades, the VOC grew to dominate European trade with Asia. Since it outcompeted other European companies, the VOC could sell spices at grossly increased prices in European markets, bringing it immense profits. These profits were reinvested into the corporation, allowing it to grow even further.

The Dutch East India Company (VOC, Verenigde Oostindische Compagnie), founded in 1602 and liquidated in 1795, was the largest and most impressive of the early modern European trading companies operating in Asia. About twenty-five million pages of VOC records have survived in repositories in Jakarta, Colombo, Chennai, Cape Town, and The Hague. The VOC archives make up the most complete and extensive source on early modern world history anywhere with data relevant to the history of hundreds of Asia’s and Africa’s former local political and trade regions ....

The VOC and war

Of course, a massive company like the VOC attracts attention – and because of its dominance in international trade, that attention was mainly negative.


It got into conflict with the British East India Company for obvious reasons: they were both going for the same thing.

Because of the weird space that the VOC occupied — part company, part state — its trade objectives often...

One of the scariest things is that the VOC could recruit it's own army aligned with military goals...
READ MORE :
Source : Archives of the Dutch East India Company | Silk Roads Programme
 
Maagano /Treaty of Tordesillas 1494

Kauli ya dunia kugawanyika kambi ya Magharibi na Mashariki iliasisiwa na mataifa makubwa mawili ya dunia yaani Spain na Portugal.

1700966775436.png

Na hadi leo karne ya 21 dunia miaka takribani 500 toka maagano / treaty iliyosimamiwa na Papa Alexander VI mwaka 1494 inatazamwa kwa picha hiyo hiyo magharibi vs mashariki ya Mataifa mawili wababe wa sasa Marekani na Russia
 
Naona wahamiaji hawana shida sana, wawe waislam au wakristo, shida ni pale baadhi ya watu wanaotaka kuanzisha dini zao katika mataifa ya Ukata na wakati kwao ni marufuku kuanzisha dini za kigeni katika mataifa yao.
kuna mtaa niiishi, ni mtaa mdogo tu una misikiti zaidi ya minne...na kila Sala waumini hawafiki hata kumi kila msikiti na wengi ni ngozi nyeusi wahindi,wapaktan/wahindi na waraabu lakini bado katika hali ya uchache wao huo bado wanaomba kibari cha kufunga moja ya barabara yenye shughuli nyingi ili waitumie kufanya Ibada.
sasa unajiuliza,kwa idadi waliyonayo Msikiti mmoja tu unawatosha na sehemu kubaki,hii ya kufunga barabara ili wafanye ibada inatoka wapi?.
SHOW OFF?.
NJIA YA KUTAFUTA WAUMINI NON MUSLIM WAWAONE WANAVYOSUJUDU ILI WASHAWISHIKE?.
AMA NI HALI KUJIONA VULNERABLE?.
JE,MLOKORE ANAWEZA KWENDA YEMEN NA KUPEWA KIBARI CHA KUFUNGA BARABARA ILI AFANYE IBADA YAKE?.
Ole wako ukosoa jambo lolote katika hayo.
utaitwa:
ISLAMOPHOBIC.
FASCIT.
RACIST .
 
Raia wa Ireland mwenyeasili ya Burundi afunguka kinachoendelea


View: https://m.youtube.com/watch?v=zpupaubN5Po

comments za watu kufuatia mahojiano haya wamkataa dada yetu na kusema ni raia wa makaratasi wakati wengine ni raia wa asili haswa, na hawahitaji karatasi yoyote... walaani dada kujisifia asili yake badala ya nchi yake mpya ya ulaya... na kuwakebehi raia asilia ambao hawajasoma kama yeye mhamiaji

Dada huyo aliyewasili nchi Ireland akiwa mtoto pamoja na wazazi wake mwaka 1997 kutoka Burundi asema aona mabadiliko makubwa Dublin kwa vurugu zinazotokea

Inakuwaje avae wigi kubwa hivyo kwa wazungu?
 
Hawataki magaidi yahamie maana baada ya muda hayakawii kuanzia kuua watu na kujilipua hovyo hovyo ili yawahi bikra 72.
 
Ireland wamepitia kipindi kigumu hadi kupata jamhuri, baada ya nchi yao kukaliwa na bado vipo vizazi zilivyofanikisha hilo wanawasimulia wajukuu wao, hivyo ni ngumu kukubali kuingiliwa uhuru wao.

Dola zilizodumu miaka kibao ya karne zaidi ya miaka 900 kama Portugal, The Netherlands, Sweden, United Kingdom zilizokuwa na makoloni nchi za mbali wanauvumilivu kidogo kuwa.

Ireland haijawahi kuwa na makoloni bali walifanya harakati za miaka 100 kuweza kujinasua, hivyo ni wakali sana wanapoona tishio linakuja kwa taifa lao changa kulinganisha na mataifa mengine ya ulaya yaliyokuwa huru kwa miaka 900 au zaidi.
 
Back
Top Bottom