Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:-
Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa
Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa
Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali.
Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
Ungemuona kijana Kulwa Makasi kwa mbali ungeweza kudhani ni kijana mwenye furaha.
Hujitahidi kumkaribisha mteja kwa bashasha japokuwa, tofauti na wenzake, angekuwa amekaa ndani ya kijibanda chake anamouzia viatu.
Kijibanda hicho kilikuwa kimepangiliwa vizuri na kwa unadhifu mkubwa,kama...
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
Wakuu,
Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni...
Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vipya na uendelezaji wa viwanda vilivyopo katika Sekta ya Mifugo na...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto
Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta
Na hiyo foleni ya...
Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
IGP upo katika kipindi ambacho serikali inakuhitaji kuliko wakati wowote. Watangulizi wako pamoja na wewe mmekuwa mkiomba bajeti ya kuboresha makazi ya askari bila mafanikio kwa miaka mingi. Lakini kila inapofika kipindi cha uchaguzi watu wale wale wasiokuwa na fedha ya kukusaidia kuboresha...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
SALAAM!
Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi.
Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe?
Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya...
Salaam wanabodi,
Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha.
Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Kimataifa ya Kwanza Wilaya ya Kusini Unguja visiwani Zanzibar amesema kuwa akiwa mkoani Arusha hivi karibuni amerekodi filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana...
Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.
Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among...
Ubalozi wa Tanzania nchini India umetoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania, Sayuni Eliakim aliyedaiwa kushindwa kusaidiwa ubalozini hapo kupata hati ya kusafiria ili arudi Tanzania.
Ubalozi huo umetoa ufafanuzi ikiwa ni siku mbili tangu taarifa hizo zilizodai Sayuni aliyedaiwa kunyanyang’anywa hati ya...
Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta
Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
Uongozi wa kijeshi wa Niger umemtaka Balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo, hatua inayozidisha mzozo wa kimataifa katika Taifa hilo la Afrika Magharibi baada ya mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya Kidemokrasia.
Serikali ya Kijeshi ya Niger pia iliidhinisha...
Mkutano wa kilele wa BRICS umeingia siku ya 3 huko Johanesburg, Afrika Kusini. Nchi wanachama zinapania kuimarisha ushawishi kuukabili muundo wa uchumi wa dunia unaoongozwa na nchi za Magharibi.
Viongozi wa muungano wa BRICSwamegeukia ajenda kuu ya mkutano wao, siku moja baada ya Rais wa Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.