Mashambulizi nchini Sierra Leone yalisababisha vifo vya watu 19

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Jeshi Nchini Sierra Leone linasema kuwa watu 19 waliuawa wakati wa shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi na magereza katika Mji Mkuu, Freetown, Jumapili Novemba 26, 2023.

Kanali Issa Bangura alisema amesema waliouawa ni pamoja na Wanajeshi 13, washambuliaji watatu, pamoja na Afisa wa Polisi, raia na mlinzi wa kibinafsi.

Watu wengine wanane walijeruhiwa, aliongeza.

Watu watatu kufikia sasa wamekamatwa katika kile ambacho Serikali imekiita shambulizi lililoratibiwa kwa lengo la kutishia usalama wa Sierra Leone.

#####

Attack in Sierra Leone left 19 dead - army

The army in Sierra Leone says that 19 people were killed during the attack on a military barracks and prisons in the capital, Freetown, on Sunday.

The dead included 13 soldiers, three assailants, as well as a police officer, a civilian, and a private security guard, Col Issa Bangura said.

A further eight people were wounded, he added.

Three people have so far been arrested in what the government has called a co-ordinated attack aimed at threatening Sierra Leone's security.
 
Na huko nako mabikra 72 na pombe za kwenye mito vinasakwa kwa udi na uvumba.
 
Back
Top Bottom