Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

Masinki

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
694
451
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie?

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
 
Acha wivu pamoja na kutokuwa threats hata kwa familia yako usiongelee issue ya mtu aliyefungwa na kupata kipigo kutoka kwa serikali akiwa kiongozi wa jamii kikatiba.
 
Kumbe kujiunga al-shabab ndo plan"B"yao baada ya kubuma maandamano yao ya nchi nzima!

Mungu yuko pamoja na watoto wake wa taifa la Tanzania,atazidi kuwaumbua mmoja baada ya mmoja.
 
Tundu Lissu alipigwa risasi eneo la ulinzi wa serikali. Acha tujiokoe mapema maana hata tukiuawa hakuna chochote kitakacho fanyika. Tunaenda nchi za watu na ikiwezekana tutaanzisha harakati huko huko. Yaliyotokea miaka mitano iliyopita yanatosha kuelezea kama tubaki au tukimbie.
 
Kama Watanzania wenzetu mnawaita magaidi, basi waachwe waondoke mubaki wenyewe na Jiwe lenu!
Kama mnadhani watanzania wote milioni 60 kuna siku watakaa kusifia mwanadamu mmoja hilo msahau!
 
We unajua Kama lisu mlimshambulia kwa risasi baada ya kulipoti kuwa anafuatiliwa mkachukulia poa. Sasa Safari hii wanajihami isije kutokea Tena wakauawa. Mana jpm siyo mtu kabisa.
 
Tatizo hutulizi kichwa mzee wangu! Tumia walau dk 2 kutafakari ndipo uandike
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Mkuu umeposti uzi huku umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini?
 
Hoji kwanza kwa nini internet hakuna
 
Back
Top Bottom