Jerry Rawlings, kiongozi wa zamani wa Ghana afariki dunia

bg2017

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
500
1,000
Jerry Rawlings, Ghana former leader don die.

Rawlings die on Thursday morning.

Jerry Rawlings John AKA J.J.Rawlings dem born am 22 June, 1947.

E die at di age of 73 for Korle Bu Teaching Hospital, according to tori.

Former Prez. Rawlings death dey happun just less than a month to di 2020 Ghana presidential election.

Before im death, former Prez. Jerry Rawlings bin dey support former Prez. John Mahama re-election plan for di 7 December election against current Prez. Nana

 

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,140
2,000
IMG_20201112_174723.png


Jerry John Rawlings hatuko nae tena Duniani

Ghana imempoteza mtu wa haki, mtu aliewaletea democracy ya kweli

Afrika imepoteza mfano wa kiongozi Bora

Dunia imepoteza mpambanaji

Rest in peace comrade..
 

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
1,961
2,000
Hata sisi tunaweza kuwa na demokrasia ya kweli maisha yakaendelea bila kupoteza chochote ni basi tu ujeuri na ushamba fulani wa watu wachache ndiyo unatukwamisha.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,068
2,000
Historia anasema Hawa walikuwa vijana wasioogopa kutwaa madaraka ili kuiokoa nchi toka mikono kongwe ya wazee wala rushwa kubwa kupitia vyeo vyao katika utumishi wa umma.

Sisi kupiga kura tu tunaogopa, kweli kizazi hiki hatuna maamuzi magumu hata haya rahisi kupitia sanduku la kura.

Flight Lieutenant Jerry Rawalings aliwashughulikia Majaji na MaJenerali walafi waliokuwapo madarakani bila kuwaonea aibu, hii ni nukuu toka intaneti.
 

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,140
2,000
True leder,huyu jamaa alijitolea Muhanga Kwa Nchi yake

Kawafundisha Waghana vipi binaadamu anatakiwa kuishi

Kaifundisha nchi chini ya Jangwa la Sahara nini maana ya Demokrasia

Kapindua mara mbili,mara ya kwanza kapindua aka kabidhi Madaraka Kwa RAIA..

Waafrika chini ya Jangwa la Sahara wanalanya kama Mwanzo,kuiminya Demokrasia, kuonea wanyongwe,kuiba kura,kunyanyasa RAIA..NK

Kidume kikapindua tena,akawaweka sawa Waghana..

Akawabidhi tena Madaraka RAIA,hivi Sasa Ghana ni nchi chini ya Jangwa la Sahara inayofata Demokrasia ya kweli..

Mungu amlaze pema peponi..
 

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,775
2,000
Tuna jambo moja tu ambalo linaweza kuwapambanua viongozi waliopo ama waliowahi kutawala nchi za Afrika. Wachache mno ni viongozi halisi walio watawala watu wao kwa hekima na busara.

Waliobakia ambao ni wengi ni watawala waovu, dhalimu na wa kiimla, ambao huongoza watu wao kwa njia za mabavu. Hubakia madarakani kwa njia ya wizi wa kura.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom