nchi

  1. Asha D Abinallah

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi 1,257 Nchi nzima: Baada ya Uchaguzi Oktoba 28, tutarajie nini uwakilishi wa Wabunge?

    Habari Wana JF, Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa na mapungufu mengi ambayo mara nyingi huonyesha ni sabbat ya uwingi wa Watawala kwa wakabi hue CCM...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri Tanzania iige mfano wa nchi ya Rwanda katika kutangaza utalii nchi za nje

    Kama ilivyo ada tunatakiwa tutangaze utalii wetu nje ya nchi yetu na shughuli hii inatakiwa kufanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Taifa ya Utalii. Jana wakati mchezo wa Leicester dhidi ya Arsernal kwenye uwanja wa Arsenal niliona matangazo yaliyosomeka "Visit Rwanda - the best...
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama za Ulaya, Marekani na China huwa zinaongeza mishahara ya watumishi wa umma kila mwaka?

    Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

    Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni bomu linalosubiri kulipuka, Watawala mkifanya kiburi halitoiacha nchi salama

    Kwa vyovyote vile Wazanzibari ni dhahiri wameshaamua lolote na liwe, ukisikia kauli za watu wa Zanzibar, vijana hata wazee wanaonyesha hawajali tena na roho zao zimeshakinai na wako tayari kwa lolote!. Zanzibar ya safari hii pengine ni Zanzibar iliyo bitter (uchungu) kuliko Zanzibar ya wakati...
  6. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

    Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam! Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na...
  7. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Serikali, zungushieni uzio wa katika eneo watu wanapoteka maji na kuoga huko Buchosa, Sengerema kuepuka hatari za kushambuliwa na mamba

    Leo nimesikia habari ya mwanamke aliyeliwa na mamba huko Buchosa Sengerema na kuhuzunika sana.tunaiomba serikali itenge eneo ambalo watu watachota maji na kuogelea kisha waweke nguzo na seng'enge zitakazokuja mpaka nchi kavu na waweke geti ili mamba asiweze kutoka nje ya ziwa na kujichomeka eneo...
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

    Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP): Yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake. Biswalo ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 wakati akizindua ofisi ya Taifa ya mashtaka wilaya ya Mufindi iliyopo mjini...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  12. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi na Amani ya Nchi ndio msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani

    Salaam wana JF. Nianze andiko hili kwa kusema kuwa ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi wa mwaka huu utatokana na nguzo imara za "Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi, haki na Amani ya Nchi, hizi ndizo hoja za msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani wala si...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika? Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

    Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara Nchi hizo ni Nigeria (79 million) Democratic Republic of Congo (60 million)...
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Masasi-Mtwara: Jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi na sio kubeba korosho, nichagueni oktoba 28, niboreshe bei ya korosho

    JESHI KAZI YAKE NI KULINDA MIPAKA YA NCHI NA SIO KUBEBA KOROSHO, NICHAGUENI OKTOBA 28, NIBORESHE BEI YA KOROSHO"PROF. LIPUMBA" MASASI-MTWARA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

    Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump amesema ikitokea Biden akashinda anaweza kuhama nchi, hiyo aibu ataificha wapi?

    Rais Donald Trump akiwa kwenye mkutano wa kisiasa amesema Biden ndio mgombea mbovu kuwahi kutokea kwenye siasa za Marekani toka taifa la Marekani lilipoundwa. Trump anasema ikitokea akashindwa uchaguzi na Biden hiyo aibu ataificha wapi kushindwa na mtu mbovu kuliko wote, anasema hiyo aibu...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi

    Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana na mimi katika hii video fupi.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

    Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa. Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au...
Back
Top Bottom