nchi

  1. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wa nchi hii laana ya Mungu haitawaacha milele. Mkatubu

    Amani ya bwana iwe kwenu wandugu! Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa. Viongozi hawa hawakuona kura bandia zilizokamatwa, viongozi hawa hawakuona mawakala wa vyama mbali mbali walivyozuiwa...
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

    Ibara ya 3(1) ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni nchi isiyo na Dini,bali ni Nchi ya kidemokrasia ambayo inafuata misingi ya vyama vingi. Tarehe 28 mwezi jana Watanzania walipiga kura,na walifanya maamuzi ya nani awe Mbunge, Diwani au Rais. Na matokeo yametoka na CCM imeibuka...
  3. Zanika

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

    Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pamoja na kuzima internet kuna watu wanaumia kimoyomoyo, ila wanashangalia na kupongeza "Chuma kimechukua nchi"

    Watanzania tusingekuwa wanafiki, basi wote tungepaza sauti kupinga kitendo kilichofanywa na Serikali kwa kutoa amri ya kulimit internet access, lakini kwa sababu ya hofu, watu wengi wanaumia moyoni huku wakiamua kushangalia na kupongeza ushindi wa kishindo kwa Chama cha Mapinduzi. Lakini tuseme...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

    Watu wengi huamaini kuwa nchi za kiislamu huwa haziwaheshimu wanawake na haziwezi kutawaliwa na wanawake. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni imeonakana kuwa hilo siyo kweli kwani kule Pakistani walitawaliwa na mwanamke Benazir Bhutto kwa muda mrefu kabla hawajamuua. Ninataka kuchokonoa...
  6. Nyambala

    JamiiForums Tanzania Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  7. Zacht

    JamiiForums Tanzania Tuambie upo nchi gani muda huu na hali ipoje huko

    Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Upinzani msiruhusu CCM waendeshe Bunge na nchi pekee yao. Nchi ni yetu sote tusikubali kamwe

    Amani iwe kwenu wajumbe! Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo. Serikali ya CCM imekua na rekodi ya...
  9. Haparahatu

    JamiiForums Tanzania Nguzo za Nchi Bye Bye

    Nguzo za Nchi bye bye Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara kubwa kuwa haki za watu zimepotea. Nimefikiria sana tunaenda vipi mbele kama Taifa. Baba wa Taifa...
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna watu wanaishi kwa raha sana nchi hii | poleni Wasanii wetu kwa lawama

    Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake. Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali akiona Wananchi wanaandamana na yeye anaweza kujiunga. Tanzania ni hodari sana kulia lia kwenye...
  11. The Dark Father

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahera ya baada ya uchaguzi 2020

    Nimesahau, nadhani. Hivi lini watanzania tumedai haki zetu? Lini wahusika tumewahi kupambana? Watanzania lini tumefungua midomo yetu, tukatoka nje kwetu na kwenda kudai haki zetu? Au hiyo kazi ya Zitto, Lissu na Fatma Karume watudaie? Watanzania, inapitishwa kanuni kandamizi, wadau...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo...
  13. Juakali jr

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu. Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

    This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
  15. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025

    Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji...
  16. fathergetho

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuombe amani ya nchi yetu juu ya huu uchaguzi

    Salama wana JF? Awali ya yote tujipe pole na pongezi ya kuyashugulikia maisha kwasababu bila ya hivyo basi tambua mkono hauta enda kinywani. maada kuu pasipo ya kupoteza mda nadhani wote tunatambua what's goes around katika taifa letu nikiwa na maana ya uchaguzi mkuu wa kiti cha URAIS,WABUNGE...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

    Nawasalimu wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana. Nikirudi kwenye mada yangu,ni ukweli usiopingika kuwa wapinzani hamkujipanga vyema kwa ajili ya uchaguzi yanayotokea ACT ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nadhani Afrika Kusini inawajibika kututhibitishia kwamba karatasi na vifaa vya kura vimezalishwa na kampuni ya nchi hiyo! Wasije kuonekana wanashiriki

    Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa kuona mapokez kama tunavyopokea watalii au ndege zinaponunuliwa. Pili mkataba wa tenda hiyo uwekwa...
  19. SHANTI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea. Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
Back
Top Bottom