Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa.
Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta...
December 2018 Freeman Mbowe na Ester Matiko walikamatwa kwa madai ya kuruka dhamana kwenye kesi ya uchaguzi iliyokua inawakabili. Walidaiwa hawajahudhiria mahakamani mara 3 hivyo wakafutiwa dhamana.
Mbowe alikua Afrika Kusini kwa matibabu. Hata hivyo mara zote aliwakilishwa mahakamani na...
Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa.
Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini?
Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata mkiwapeleka mahakamani waliokuwepo watamtupia lawama marehemu si mahakama si wahusika wote aliwaweka...
Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
Leo Rais Samia akiwa Uganda, ameonekana kwa mara ya kwanza [kwa nijuavyo mimi] akiwa amevaa barakoa. Maajabu!
Pia, akiwa huko na mwenyeji wake, pamoja na kuvaa barakoa, ule ukaaji wa mbalimbali pasipo na kurundikana na kujazana kwenye sehemu moja nao umezingatiwa.
Nitpicking: she doesn’t...
Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia.
Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana uliyopewa kwa mrithi wako. Ni bahati mbaya kwamba Mzee wetu JPM alitwaliwa katika ulimwengu huu bila...
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa.
kwa kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia maendeleo yaliyotokana na maamuzi ya kitanzania na yalioachana na kukariri njia...
Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji.
Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya.
Je, Mh Ndugai...
Na Thadei Ole Mushi.
Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno:
"Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani.
Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri.
Hata...
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa.
Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume...
Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani mmoja mmoja, na hatimae wote wanakuwa kitu kimoja. Wakishakuwa kitu kimoja wanaanza kuimba wimbo mmoja...
Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi?
Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
Wakati Rais Magufuli akiwa madarakani tuliwaona mkiandamana nae kila mahali katika ufunguzi wa miradi mbalimbali.
Na wakati mkiandamana naye mlipata nafasi ya kutoa neno na katika kufanya hivyo mliisifia miradi na kutuambia kuwa iko sawa kabisa, tuliwaamini kwakua nyie ndio mliyobeba dhamana...
-Jana tarehe 7/4/2021, jarida la forbes lilitoa takwimu nzima ya matajiri katika dunia hii, japokua hua wanatoa kila mwaka lakini ya jana ilikua ngumu kumeza. Watu wengi hua wanapenda kujua tu nani anaongoza then baada ya hapo amemaliza yote anayojua kuhusu utajiri unaochapishwa na forbes...
Naomba tujiulize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuingilia kati huu uchafuzi wakisiasa unaofanywa na viongozi waandamizi wakisiasa?
Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo viongozi leo Wana msimamo huu kuhusu rasilimali na kesho wana msimamo ule kuhusu rasilimali zetu na hakuna...
TATIZO: "Unstable Political Grounds of the Nation"
TATIZO ZAIDI: "Poverty Among Politicians is the Root Cause of Unstable Political Ground of the Nation"
ZAIDI YA TATIZO: "POVERTY IS A RESULTS OF LOCKED MIND OF GREAT THINKERS IN THE SOCIETY BY THE POOR POLITICIANS FOR THEIR OWN GREED TO STAY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.