nchi

  1. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Siasa za mimi Vs wengine sisi Vs wao na hatma ya nchi yetu

    Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mtanzania hahitaji Visa kuingia katika nchi hizi

    VISA FREE DESTINATIONS FOR A TANZANIAN 5 February 2016 Sakina Shabbir Manji Most countries require a Visa with your Tanzanian passport in order to enter. However there are some visa free countries that will allow you to enter their premises without a visa or will provide you with one as soon as...
  6. MC44

    JamiiForums Tanzania Mpunga wa nchi kavu

    Wanandugu, Naomba kupata namna ya kufanya kilimo cha nchi kavu. Kama kuna mahali kuna bandiko zuri naomba kuunganishwa nalo. Sijawahi kulima mpunga popote.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Wakubwa Shikaamooni Wadogo zangu Habari zenu. Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto. Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 16 zinazotumia Tigo South America na central America

    Mzuka wanajamvi! Hizi ndizo nchi 16 zinazotumia mtandao wa simu Tigo. Katika bara la South America na Latin America (Central America) South America Argentina, Uruguay, Brazil, Paraguay, Bolivia, Chile, Peru, Colombia, Mexico Central American countries. Costa Rica El Salvador Guatemala...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha mapya katika nchi za watu

    Hii story inamhusu Henry, kijana wa miaka 32 aliyekuwa mhudumu wa bank kwa miaka 10. Ana mke na watoto wawili wa kiume. Siku mojja waliitwa kazini na kuambiwa bank wanapunguza wafanyakazi, alilipwa kiinua mgongo milioni 15. Alifikiria jinsi atakavyo endesha maisha na ile pesa. Aliamua...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

  11. L

    JamiiForums Tanzania China yafuata ahadi yake katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Video: Mabadiliko ya tabia nchi ni suala linalokabili kila mmoja wetu Pili na Amani wameshiriki kwenye shughuli ya kupanda miti hapa BJ ili kuchangia juhudi za kusaidia kutatua suala hilo. Waziri wa Teknolojia wa China Bw. Wang Zhigang amesema ahadi ya China kuhusu“utoaji wa hewa ya kaboni...
  12. Hero

    JamiiForums Tanzania Nchi inapokosa maono hulazimika kutekeleza maono ya mataifa mengine. Hii ni aibu kubwa, viongozi na watanzania tujitathmini

    Imekuwa ni kawaida kusikia wanasiasa kwa mfano wanatoa matamko yenye hamasa juu ya kuongeza mara soya, mara ufuta mara castor oil kwa kuwa wachina wanahitaji, nk. Kwa hiyo kama nchi tumekuwa bendera kufuata upepo kwa muda mrefu. Ndio maana hata baada ya kuanza kuendeleza bandari ya Dar, Kilwa...
  13. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu someni kitabu hiki kitaikomboa nchi nchi yetu

    Why Nations Fail: A Summary Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson. Overall Summary… Developed countries are wealthy because of ‘inclusive economic institutions’ – Basically a combination of the state and the free market in which...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Mwambe: Tumuache Rais Samia, anafahamu wapi atafikisha Nchi yetu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa hapa na pale kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake. Ameeleza hayo leo Bungeni Dodoma Amesema, "Anaifahamu kazi yake, alikuwepo kwenye kupanga mipango na yeye ni...
  15. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio

    Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio. [
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

    Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile maji ya kunywa, barabara, madaraja, shule, hospitali, umeme, ujenzi wa huduma za benk. viwanja vya...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini dawa zinazozalishwa nchini bei ipo juu kuliko za nje ya nchi?

    Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa. Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Freeman Mbowe alivyofanyiwa umafia ndani ya nchi yake

    December 2018 Freeman Mbowe na Ester Matiko walikamatwa kwa madai ya kuruka dhamana kwenye kesi ya uchaguzi iliyokua inawakabili. Walidaiwa hawajahudhiria mahakamani mara 3 hivyo wakafutiwa dhamana. Mbowe alikua Afrika Kusini kwa matibabu. Hata hivyo mara zote aliwakilishwa mahakamani na...
  19. winnerian

    JamiiForums Tanzania Endapo Serikali itaacha kutumia mabavu kukusanya kodi, wafanyabiashara wapo tayari kulipa kodi bila kudanganya na kofoji "documents"?

    Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa. Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mnayemlalamikia ni marehemu ameondoka na ushahidi wote - Tujenge nchi yetu tusikubali kurudi nyuma

    Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini? Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata mkiwapeleka mahakamani waliokuwepo watamtupia lawama marehemu si mahakama si wahusika wote aliwaweka...
Back
Top Bottom