Nawasalimu kwa Jina la JMT.
Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.
Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
Tuna mambo ya kujifunza kwa yanayotokea duniani kwa namna nyingi. King Muswati, wa Eswatini, amekimbia nchi baada ya kuona nguvu ya wanaodai demokrasia imeongezeka. Lakini tukumbuke, Waswatzi, wamekuwa chini ya uongozi wa kitemi, unaompa mtemi wao nguvu kubwa isiyohojiwa kwa mila na mapokeo...
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021.
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid.
Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.
Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa kulipa shilingi bilion 26 tu, Profesa anahoji hizo pesa nyingine sasa zinakwenda wapi, na...
Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100.
Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni mpango mkakati wa kufikia malengo fulani.
Je, tumeweza kujua Rais Samia ana malengo gani na nchi...
Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa.
Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku.
Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa...
Siku mia moja za Rais Samia ni pongezi kila kona bila kukoma lakini kuna baadhi ya hiana. CCM inafanya hiana kwa Watanzania na baadhi ya washauri wa Rais wasije kutufanyia hiana.
Mama tunamuheshimu sana na kwa kweli kaanza vyema. Tunampongeza kwa hatua alizofanya kwa sasa na hatutonyamaza...
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"
"Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
Siyo siri, nchi ilikuwa katika sintofahamu, hofu na ahadi ya ufukara kwa nchi na mtu mmoja mmoja.
Matokeo ya uongozi wa Mwendzake.
Kitu cha kwanza Mam Samia kaondoa ni hofu.
Hofu ilikuwa ya ya kutekwa, kubambikwa kesi za uhujuumu uchumi , kuuwawa na hata kuishia jela bila makosa yoyote.
Pili...
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi.
King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters
Thousands of...
Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema.
Kuna wakati wananchi waliaminishwa kuwa mfalme amelithishwa viatu vya mwalimu Nyerere. Kilichofuata baada ya miaka miwili ni...
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii. Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.
Pamoja na yote anayosema na nia yake njema ya kufanana na JPM, mama ameonyesha kwa vitendo kuwa si katika dhuluma wala katika kuvunja...
Ingekuwa sawa sana kama kupiga simu ndani ya EA kungekuwa kama unapiga ndani ya nchi.
Hakuna haja ya mtu anayepiga simu Kenya au Uganda kuonekana anapiga simu nje ya nchi au na kutozwa kwa mtindo huo.
Hii itaturahisisia sana mambo.
Mimi najiuliza tu,
Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..!
Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli.
Rais ambaye hakuwapenda raia wake, hakusikiliza tulio hai, akitoa matamko ya kudhalilisha na kukejeli.
Rais ambae hakuheshimu...
Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
Tukubaliane kabisa kuwa CCM imepewa madaraka kuongoza nchi kwa niamba ya watanzania mil 60 bila kujali itikadi zao.
CCM kuwa madarakani sio sababu ya wanaCcm wachache ambao walishakuwa viongozi kujifanya wao na familia zao wanajua sana kupiga madili makubwa na kunufaisha matumbo yao.
CCM kuwa...
Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani.
Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo.
Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.