Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
Mamlaka nchini Senegal imetoa agizo kwa mashirika yanayotoa huduma ya mtandao kuzima intaneti nchi nzima, wakati maandamano dhidi ya kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani yanazidi kuongezeka, shirika la kuangalia mtandao NetBlocks limeripoti leo Ijumaa.
Kulingana na NetBlocks, huduma ya intaneti...
Hapo vip!
Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi.
Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania.
Tunaomba serikali iwe sereous na...
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi.
Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona
Pia shirika...
Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha.
Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
Wapendwa salaam!
Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo.
Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako...
Nimegundua mwaka ni mdogo sana katika maisha,
Kama yalivyo mafupi maisha yenyewe. Hatahivyo vinaunogosha na kuukimbiza mwaka ni pamoja na MATUKIO (mnapigwa matukio, mnapigwa matukio, mkija kujistukia mwaka huo umeisha unakuja mwingine)
Ingawa mengine yanatokea tu kwa matakwa ya 'muweza' yapo...
Katika nchi jirani kuna social media kama JF ambapo tunaweza kujiandikisha kama tunavyofanya hapa JF? Itapendeza kuona wenzetu wanasema nini kuhusu sisi, sisi kuwajua wao wanasemaje kuhusu kwao etc etc.
Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa na nchi za Afrika.
Pamoja na kwamba kiwango cha ushirikiano kati ya...
Na All - Rounder nawaombeni enyi Watoa Majina Siku zingine kabla ya kutoa Majina ya Watendaji wenu au Wanasiasa muwe mnatuambia Kwanza Watanzania ni nini au kipi cha maana na chenye Tija kwa nchi na Jamii hao (hawa) Wahusika wamekifanya na Kinaonekana.
Nami naomba Mradi wa Umeme Rufiji au ule...
Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious...
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.
kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.
Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali...
Imani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata.
Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi?
Hapa tunacheza na imani, imani...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa.
Dkt. Abbasi...
Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa.
Source: world press freedom index. Year. 2020.
1. Namibia
2. Cape varde
3. Ghana
4. South Africa
5. Burkina Faso
6. Botswana
7. Senegal
8. Madagascar
9. Mauritius
10. Niger
11. Seychelles
12. Cote D' ivore
13. Malawi
14. Tunisia...
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.