Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala.
Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki.
1. Samsung-Korea Kusini
2. Tecno-China
3. Huawei-China
4. Lenovo-Hongkong
5. Nokia-Finland
6. Blackberry-Canada
Tupieni nyingine
Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu.
Ukifanya hivyo, wananchi wa...
Nimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika...
Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025.
Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo.
Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri kuwa ndani ya Afrika Mashariki kuna nchi moja tu ambayo ndiyo ilikua ikitupa Changamoto ambayo ni...
Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake .
Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.
Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.
Nchi imejaa UZEMBE SANA.
80% ya zao...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona.
Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
Kwa kweli namna katiba inavyovurugwa ni wazi kabisa Chama cha Mapinduzi kimeshaivuruga nchi na sasa, na sasa kila mmoja anaongoza kivyakevyake, msemo wa Kiswahili maarufu ule usemao mwenye nguvu mpishe, ndio tunaokwenda nao sio tena kufuata ule msemo wa Uongozi ni dhamana.
Mnavuruga Katiba ya...
Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi...
Ni wazi wapinzani wa CCM watatumia fursa zote halali na haramu ili kuimaliza CCM ikiwa madarakani na ni haki yao kufanya hivyo.
CCM ilipoteza mvuto kipindi flani hadi kufanya zoezi la kuvua gamba japo gamba liliishia kiunoni.
Mwaka 2015 CCM ilipitia changamoto nzito sana baada ya mgawanyiko...
Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA.
Uwezo wetu kijeshi, sayansi,elimu na teknolojia ungekuwa tishio.
Itazame USA kama nchi 50 ambazo hazina...
Wakati majirani zetu bado wanalala usingizi wa pono, Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuzindua mtandao wa 5G. Safaricom imezindua mtandao wa 5G leo.
The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo...
Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.