nchi

  1. TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha. Tunapenda kuufahamisha umma...
  2. Nadharia na maneno toka Serikalini vimekuwa vingi kuliko wanavyohitaji Watanzania kwenye grassroot

    Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi? Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii? Huko India hakuna balozi ambaye...
  3. Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

    Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
  4. Hivi nchi ya Tanzania itamaliza lini Ukarabati?

    Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya? Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga. Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njia yao ya...
  5. Badala ya kuichoma bhangi yetu, tuichakatie kiwanda cha mkonge. Kuichoma tukiwa high nchi nzima?

    Nishawahi kumtania Mkurya mmoja kwamba: 'Unajua ni kwa nini nyie kwenu (huko ukuryani) mna hasira sana bro? Ni kwa sababu serikali kila mara inawavutisha bangi maana ikikamata na kuchoma mabangi ma tani kwa mahekari basi ule moshi unasambaa mkoa mzima ndo unakuta wote ni kama wavuta bhangi tu...
  6. Putin ataka Palestina wapewe nchi yao

    Makundi mengi zaidi kote ulimwenguni yametokea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ili warudi kwenye makazi yao.Hali hiyo inaonesha kama kwamba mashambulio ya Hamas yameleta athari kubwa katika kuelezea madhila ya taifa lao. Katika ufuatiliaji wa maoni kwenye mitandao ya kijamii imeonekana pia...
  7. Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  8. M

    Kwanini Samia asiwe Mama wa Taifa? Nchi imetulia ukilinganisha na miaka mitano iliyopita

    Mimi naona anafaa sana maana sasa hivi nchi imetulia sana. Kuna uhuru wa kila namna na Watanzania tunajisikia kuwa Watanzania na si watumwa ndani ya nchi yetu kama kipindi cha yule jamaa ambapo hata kwenye daladala tulikuwa tunaogopana. Above all, naomba aongoze maisha yake yote mpaka...
  9. Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  10. Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

    Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
  11. Tanzania Mining Cadastre Portal ni mfumo wa kuisababishia nchi hasara badala ya faida

    Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili. Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini, kwasababu baada ya kuteuliwa yapo mambo ambayo kwa muda mfupi yameanza kuharibika tena kwa haraka na...
  12. Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  13. Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana. Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran. Naomba kujua...
  14. Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

  15. Mossad walikuwa wapi nchi inashambuliwa kwa style ile ile kwa mara ya pili? Unguli wao ni propaganda tu?

    Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko Golan. Hali ilikuwa tete sana kwa Israel hadi jeshi likaamua kuwa liwaache Wasyria wafanye...
  16. Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

    Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
  17. Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana. Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita. Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
  18. Nchi ambazo hazina Viwanja vya Ndege

    Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
  19. Ilikuwaje katikati ya nchi za Kiarabu pawe nyumbani pa Wazungu?

    Pale Mashariki ya Kati pamezungukwa na Waarabu, halafu katikati kuna wazungu wanasema ni nyumbani pao, wanajiita Israel. Hawa wazungu wametokea wapi? Kama wao ni watoto wa Ibrahim, Ibrahim alikuwa mtu wa Uru ya Wakardayo, àlmbayo ni Iran ya leo. Iran sio wazungu. Hawa Waisrael wazungu...
  20. CGTN documentary ni channel bora kabisa kwa nchi za kiafrika na kwa waafrika

    Tukitaka kuzungumzia channel bora yenye vipindi bora kwangu mimi nitaiitaja hii channel ya CGTN DOCUMENTARY. Hii channel ya wachina waliupiga mwingi sana, ni channel bora kwa vipindi vya kufundisha na kuelimisha. Hii ni channel inayopaswa kupigiwa macho sana na waafrika wengi kadiri tuwezavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…