nchi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi . Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Nchini Ghana 🇬🇭waja juu na kutaka Nchi yao ipige mziki ya Ghana pekee

    Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za burudani na maeneo ya Starehe pomoja na vituo vya burudani vya TV na Radio vipige mziki wa Ghana...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania au ndiyo tabia za nchi za kiafrika kutopenda kutoa mrejesho wa matukio?

    katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nchi sita zaidi za Afrika kunufaika na soko la China

    Kuanzia tarehe 25 Desemba mwaka huu Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zitaungana na nchi nyingine za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake za kilimo kuingia bila kutozwa...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

    Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Finland nchi ya kwanza ya Nordic kujadiliana Kidiplomasia na Tanzania

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza imefanya majadiliano ya kidiplomasia na Serikali ya Finland kwa lengo la kuimarisha, kukuza na kudumisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kipaumbele kwa maslahi ya pande zote mbili. Pamoja na Tanzania kuwa na uhusiano mzuri na...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Je hili la Tanesco si Shambulio la Kimtandao kwa Nchi? Cyber Attack? Usalama wa Taifa hili jukumu lenu

    Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana. Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi...
  8. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi nyingi za Kiafrika zinaikataa Kampuni ya StarLink?

    Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink. Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku India ni moja ya nchi barani Asia zilizo zuia pia, Uturuki na Egypt pia. Ukiacha tetesi za CIA kuwa...
  9. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Nchi Maskini zinazoongoza kwa mikopo kutoka China

  10. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, nchi za wenzetu wanatumia vigezo gani kupata Waziri?

    Ameandika Martin Maranja Masese. Kiumbe ambaye CIVICS kidato cha nne alicheza na mswaki (F) anawezaje kuwa waziri wa kushughulika na masuala nyeti ya teknolojia, Habari na mawasiliano? Hatupo ‘siriazi’ kabisa wanetu. Paula Ingabire ni Waziri wa Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.? Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais? Ni kazi gani hiyo? Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania America Anaomba Gulf Countries Wajiunge Kumshambulia Yemen

    Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini? Tukiwambia Israel hana lolote anakuzwa na Viongozi wa kiarabu na US kwa faida zao tu. Yemen ni...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kuiteka nyara nchi

    Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050. Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?" Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Timu huwa zinafanyaje kucope na tofauti ya masaa kati ya nchi na nchi?

    Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa...
  19. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

    Mi naanza na My Motherland 🇹🇿 🇹🇿
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

    Great Thinkers. Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali. Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze.. Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Back
Top Bottom