Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho

Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO

Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini zingine, dini zao za mwanzoni huziona walichaguliwa na wazazi / walezi wao wakiwa hawajitambui.

Ila sio kila sehem uhuru huu upo, katika nchi hizi ukiwa muislam ni kosa kubadili dini, ukijaribu UTAUWAWA !!

  1. Afghanistan
  2. Saudi Arabia
  3. Brunei / Darussalam
  4. Iran
  5. Malaysia
  6. Maldives
  7. Mauritania
  8. Qatar
  9. United Arab Emirates
  10. Yemen.

Kwa sheria hizi inakuwa ngumu kubadili dini maana ukibadili dini hadharani hutaweza hata kuitumikia, Hivyo mbinu rahisi huwa ni kuhama nchi au kuabudu kwa siri, Mfano ukienda nchi kama za Ulaya utawakuta waarabu wakristo waliouhama uislam

1711466146660.png

Ni ajira rasmi na kuna watu maalum wanalipwa na serikali kutoa hukumu kwa wanaobadili dini
1711466161196.png
 
Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa Apostasy, Hukumu ni KIFO

Wengi huziacha dini zao wakiwa watu wazima kwasababu dini hizo walipewa katika kipindi ambacho bado ni watoto wasiojitambua

Ila sio kila sehem wanaruhusu, ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu, UTAUWAWA !!

  1. Afghanistan
  2. Brunei / Darussalam
  3. Iran
  4. Malaysia
  5. Maldives
  6. Mauritania
  7. Qatar
  8. Saudi Arabia
  9. United Arab Emirates
  10. Yemen.
Masikini mkubwa wewe
 
Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO

Wengi huziacha dini zao wakiwa watu wazima kwasababu dini hizo walipewa katika kipindi ambacho bado ni watoto wasiojitambua

Ila sio kila sehem wanaruhusu, ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu, UTAUWAWA !!

  1. Afghanistan
  2. Brunei / Darussalam
  3. Iran
  4. Malaysia
  5. Maldives
  6. Mauritania
  7. Qatar
  8. Saudi Arabia
  9. United Arab Emirates
  10. Yemen.
Ni shuruti sana dini hii huko na kwa kweli ni ushetani mtupu hakuna kitu pale.
 
Uncle bright punguza hizi mambo.
nimeona nyuzi zako nyingi ni za chuki za kidini hiyo haifai mkuu.

80% ya mauwaji ya kimbari April 1994 Rwanda yalichochewa na taarifa za chuki kwenye vyombo vya habari.

matokeo yake watutsi wakafa,na wahutu walioeneza chuki mwenye vyombo vya habari nao wakafa.

watutsi wakakimbia nchi,na wahutu walioeneza chuki nao wakakimbia nchi.mwisho wasiku wote walipata hasara tena kubwa sana.
 
Sasa hapo kunachuki gani? au ameongea uongo?
 
Uncle bright punguza hizi mambo.
nimeona nyuzi zako nyingi ni za chuki za kidini hiyo haifai mkuu.

80% ya mauwaji ya kimbari April 1994 Rwanda yalichochewa na taarifa za chuki kwenye vyombo vya habari.

matokeo yake watutsi wakafa,na wahutu walioeneza chuki mwenye vyombo vya habari nao wakafa.

watutsi wakakimbia nchi,na wahutu walioeneza chuki nao wakakimbia nchi.mwisho wasiku wote walipata hasara tena kubwa sana.
Mkuu nimedanganya au nimesingizia hadi useme ni chuki ?
 
Hivi ww jamaa hunaga kazi nyingine zaidi ya kushinda humu una piga poroja dhidi ya Uislam ambao huwezi kuufanya wala kuupunguzia chochote?
😅😂😂😂 Mwezi mtukufu haujaisha shehe,punguza matusi basi .
 
Back
Top Bottom