NAMNUKUU
"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.
Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike...
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
Nchi ya Tanzania watu wanachapa kazi sana na watu wavivu au wenyewe wanajiita wasio na kazi wako pia.
Turudi kwenye mada.
Serikali inawaza nini juu ya kazi ambazo hazina tija kwa taifa, hazichangii pato la taifa?
Kazi ambazo zinampa ugali mfanyaji na familia yake basi.
Taifa litasonga vipi...
Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo vyuoni na hata kwenye Ofisi zao hao HESLB lakini hawasaidiwi chochote.
Imeniskitisha nimekutana na...
Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge.
Mechi...
Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama.
Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee...
Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara.
Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko la Mbowe (CHADEMA)
Nimefikira sana kuhusu kauli na kuendelea kujifunza kuhusu mambo mengi sana juu...
Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo utakaowapa mwongozo wa matendo yenu kwenye masuala mbalimbali”
“Kwa kuizingatia historia ya Rwanda...
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko maslahi ya nchi au aliyekuajiri mbele, matokeo yake ni kuua kile kilichokuweka pale iwe shirika la...
Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo yasiyofikirika mtumishi wa umma kumiliki majengo kama Mikocheni, Dubai, Afrika ya kusini nk. Huyu Mh. amewahi...
Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa!
===
Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.
Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali...
Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya Kusherehekea Mapinduzi Matukufu basi nijielekeze kwenye uzalishaji.
Kwa kusema hivyo sikuwa na...
Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara.
Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP).
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan.
#Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
Habari yako ndugu msomaji.
HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU
Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka.
Jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.