Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana

Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao.

Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno.

Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao + Technology.

Wahindi wana India yao - Waachapakazi, Wafanyabiashara + diaspora iliyofanikiwa zaidi

Kwa Africa South Africa kumeendelea lakini ni kwasababu ya wazungu kama kina Elon Musk, waafrika wa asili mambo ni hohe hae,

Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa maendeleo ya waafrika halisi lakini bado ipo nyuma sana kwa jicho la kidunia, kuna vita za kidini, kuna vita za kikabila na ukabila wa hali ya juu, magaidi bokoharam, ufisadi uliokithiri, n.k.
 
Wazungu wana Uingereza, Switerland - sina haja ya kuwaelezea sana

Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao

Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno

Wachina wana china yao - viwanda kibao + Technology

Wahindi wana India yao - Diaspora iliyofanikiwa zaidi duniani, kampuni kibao zinayofanya poa Marekani hawa ndio Ceo
😂😂😂😂😂 Tanzania Uongo na Connection.
 
Afrika tuna Tanzania Mkuu mbona huwi mwenye shukrani
Tunaongoza katika nyanja nyingi za maendeleo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, nina uhakika kuna nchi hata Ulaya kwenyewe zikasome kwa Tanzania kimaendeleo
 
Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana

Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao

Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno

Wachina wana china yao - viwanda kibao + Technology

Wahindi wana India yao - Waachapakazi, wafanyabiashara + diaspora iliyofanikiwa zaidi
Africa tuna Ethiopia na Tanzania. Hawa wanafanya shughuli zao za maendeleo bila kutegemea Msada wa wazungu...
 
TZ HOME OF MAPENZZ
427024341_3716625048608190_8571073866953618029_n.jpg
 
tatizo ao uliowasifia ndo chanzo sisi kuwa hivi yani wametutawala miaka zaidi ya 500 sisi waafrika tukiwa kama mashine zao leo maendeleo ya nchi zao kutokana na mali zetu waafrika mfano saizi machafuko ya Congo ni nani mfadhili..?
 
Sio kweli mkuu,
Afrika tuna roho mbaya na hatupendani.

Ndo maana kuna mifumo ambayo inasababisha fikra Duni kwa jamii,
kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wengine.

Matokeo yake jamii inakuwa maskini,
Jamii inapokuwa maskini,
taifa linakuwa maskini,
Taifa likiwa maskini ndo Afrika inakuwa maskini.
Umaskini unatengenezwa na umetengenezwa na watu .
 
Back
Top Bottom