Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.
Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
Mimi naona anafaa sana maana sasa hivi nchi imetulia sana. Kuna uhuru wa kila namna na Watanzania tunajisikia kuwa Watanzania na si watumwa ndani ya nchi yetu kama kipindi cha yule jamaa ambapo hata kwenye daladala tulikuwa tunaogopana.
Above all, naomba aongoze maisha yake yote mpaka...
Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno.
Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla.
Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu.
Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili.
Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini, kwasababu baada ya kuteuliwa yapo mambo ambayo kwa muda mfupi yameanza kuharibika tena kwa haraka na...
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.
Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.
Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua...
Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko Golan.
Hali ilikuwa tete sana kwa Israel hadi jeshi likaamua kuwa liwaache Wasyria wafanye...
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana.
Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita.
Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
Pale Mashariki ya Kati pamezungukwa na Waarabu, halafu katikati kuna wazungu wanasema ni nyumbani pao, wanajiita Israel.
Hawa wazungu wametokea wapi? Kama wao ni watoto wa Ibrahim, Ibrahim alikuwa mtu wa Uru ya Wakardayo, àlmbayo ni Iran ya leo. Iran sio wazungu.
Hawa Waisrael wazungu...
Tukitaka kuzungumzia channel bora yenye vipindi bora kwangu mimi nitaiitaja hii channel ya CGTN DOCUMENTARY.
Hii channel ya wachina waliupiga mwingi sana, ni channel bora kwa vipindi vya kufundisha na kuelimisha.
Hii ni channel inayopaswa kupigiwa macho sana na waafrika wengi kadiri tuwezavyo...
Wanaume wa western Africa pengine ni wanaume zaidi ya wale wa southern, northern na eastern Africa kwani kwenye hii list 1-10 ya wenye mitara wanatoka nchi za Africa magharibi.
1. Burkina Faso: 36%
2. Mali: 34%
3. Gambia: 30%
4. Niger: 29%
5. Nigeria: 28%
6. Guinea:26%
7. Guinea-Bissau:23%
8...
Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana ambaye table dresing anatumia dola laki 3 kwa mwezi ambazo sawa na takribani zaid ys milioni 500 kwa...
Zamani bei za bidhaa zote zilizopangwa na Serikali zilikuwa zinafanana nchi nzima. Mtu aliyepo Kilombero alinunua sukari kwa bei ile ile na mtu aliyepo Tandahimba, bei ya petroli Dar ilikuwa sawa na Kigoma.
Sasa wasomi wetu wamepatwa na nini kutofautisha bei ndani ya nchi moja? Kwamba sisi watu...
Top 10 African countries with the cheapest data prices from June to September
1)- Malawi 🇲🇼 $0.38(29th)
2)- Nigeria 🇳🇬 $0.39(31st)
3)- Ghana 🇬🇭 $0.40 (33rd)
4)- Somalia 🇸🇴 $0.50 (45th)
5)- Democratic Republic of Congo 🇨🇩 $0.52 (49th)
6)- Rwanda 🇷🇼 $0.55(52nd)
8)- Kenya 🇰🇪 $0.59(57th)...
Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla.
Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.