Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,238
- 12,755
Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni mbabe kwenye eneo lake.
Bandari kubwa Ujerumani ni Hamburg. Mji mkuu ni Berlin. Mji wa mkuu wa kifinance ni Frankfurt. Mji/miji mikuu ya viwanda ni eneo lenye miji ya Dortmund, Dusseldorf, Cologne. Huko ndiko kuna viwanda vingi, watu wengi na mabilionea. Mji wa kitalii, kitajiri na watu kuishi poshy lifestyle ni Munich. Huu mgawanyo unafanya nchi iwe vizuri sana.