nchi

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

    Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge. Mechi...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

    Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee...
  3. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii nchi ina shida nyingi sana, ajabu CHADEMA wanaaandama kisa sheria ya uchaguzi. Kwahiyo matatizo mengine hamyaoni?

    Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara. Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko la Mbowe (CHADEMA) Nimefikira sana kuhusu kauli na kuendelea kujifunza kuhusu mambo mengi sana juu...
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Hakuna chombo chochote nje ya nchi kinachoweza kuiamuru Rwanda nini cha kufanya katika uongozi

    Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo utakaowapa mwongozo wa matendo yenu kwenye masuala mbalimbali” “Kwa kuizingatia historia ya Rwanda...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Unapofanya kitu cha umma wa Tanzania unafanya kwa maslahi ya nchi au ya kwako au kikundi fulani?

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko maslahi ya nchi au aliyekuajiri mbele, matokeo yake ni kuua kile kilichokuweka pale iwe shirika la...
  6. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na mchwa, wananchi tusipoweka mguu chini wanasiasa wataifanya nchi kuwa kama Congo

    Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo yasiyofikirika mtumishi wa umma kumiliki majengo kama Mikocheni, Dubai, Afrika ya kusini nk. Huyu Mh. amewahi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SAP wakiri walitoa rushwa Tanzania na nchi nyingine

    Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa! === Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  9. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema isiruhusiwe kutikisa Dola na nchi kwa ujumla

    Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake. Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Imefika Mahali kama Taifa tunakuwa hivi? Yaani Mbowe mmoja akikohoa Nchi inatetemeka?

    Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya Kusherehekea Mapinduzi Matukufu basi nijielekeze kwenye uzalishaji. Kwa kusema hivyo sikuwa na...
  11. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

    Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast vs Guinea Bissau wanaanza leo, Nchi gani itaibuka na Ubingwa wa AFCON mwaka huu?

    Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan. #Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

    Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
  15. safuher

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote ile duniani Kurudia Nguo ni kutokana na Ukata wa nchi yake au ni Takwa la Mganga wa Kienyeji?

    Najiandaa kusoma tu Comments za Wandewa na Wajuvi wa Mambo hapa JamiiForums.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

    Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi. Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja. Sasa swali langu ni nani...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao

    RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023. NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
  19. Masiya

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kweli ni nchi!

    Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki. Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
  20. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi. Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Back
Top Bottom