Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Fundi kipara

Senior Member
Oct 27, 2019
116
241
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.

Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male + female).

Mie nchi hii wanawake ndio wameamua kunikataa kabisa najaribu ku approach wanawake l ambao wanaonekana kabisa wako tayari kunidate lakini wapi, aisee huu ni mkosi!

Inafikia hadi natumia pesa kuwapata lakini tutadate siku mbili tu halafu haijulikani tumeachanaje.

Ahsanteni, naomba kuwasiliana uzi huu niendelee na Mfungo wa Ramadan.
 
Koo za simba hatuna matatizo hayo.

Tatizo lako umetokea kwenye koo isio-jitambua.
 
Dili na levels zako mzee we unajijua kbs kutoa buku tano ni kipengele afu unahangaika na pisi za KFC.

Kula pisi zilizopo wakati unatafuta unayetaka kua nae, kua makini sio kila sehemu upige akili kumbichwa

Rahisisha maisha acha kua na misimamo ya kizamani, sheria nyingi kichwani, ulokole usio na maana ishi kama kijana punguza kua kama kijana alieokoka juzi

Scan sana approach zako ktk mawasiliano
 
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.

Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male + female).

Mie nchi hii wanawake ndio wameamua kunikataa kabisa najaribu ku approach wanawake l ambao wanaonekana kabisa wako tayari kunidate lakini wapi, aisee huu ni mkosi!

Inafikia hadi natumia pesa kuwapata lakini tutadate siku mbili tu halafu haijulikani tumeachanaje.

Ahsanteni, naomba kuwasiliana uzi huu niendelee na Mfungo wa
Ukiona hivyo hao hawajatoka kwa ubavu wako,tulia subiri alietoka kwa ubavu wako
Ndani ya huu mfungo wako ,jitahidi kumshirikisha Allah!pia kwa hili.
Ramadhan qareem
 
Back
Top Bottom