Hii ndio nchi ya Uganda

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
-Baba (Yoweri Museveni) ni Rais

-Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu

-Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF

20240322_200301.jpg


Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
 
Hata hapa hakuna tofauti .

Hatuchekani.

Mwinyi Rais wa Zanzibar, Rais wa Tanzania.

Mwinyi Jnr Rais wa Zanzibar,.......

Karume Rais wa Zanzibar,

Karume Jnr Rais wa Zanzibar.

Kikwete Rais wa Tanzania.

Mrs Kikwete Mbunge.

Kikwete jnr Mbunge, naibu waziri.

Wengineo kama kawawa,Pinda, na wengineo.

Watoto wao wamejaa taasisi zote zenye mishahara minono, wizarani, taasisi nyeti na channel zote za pesa ni zao.
 
Hata hapa hakuna tofauti .

Hatuchekani.

Mwinyi Rais wa Zanzibar, Rais wa Tanzania.

Mwinyi Jnr Rais wa Zanzibar,.......

Karume Rais wa Zanzibar,

Karume Jnr Rais wa Zanzibar.

Kikwete Rais wa Tanzania.

Mrs Kikwete Mbunge.

Kikwete jnr Mbunge.

Wengineo kama kawawa,Pinda, na wengineo.

Watoto wao wamejaa taasisi zote zenye mishahara minono, wizarani, taasisi nyeti na channel zote za pesa ni zao.
Kikwete Jnr ni Deputy Minister pia.
 
Kikwete Jnr ni Deputy Minister pia.
Yaani hapa Tanzania HUWEZI ukafungua biashara YEYOTE ukafanikiwa bila haya mabeberu kuwa na mkono wao.

Yana tamaa mno, yanataka kila kitu kiwe Chao.

Majizi makubwa na familia zao.
 
Back
Top Bottom