Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 969
- 1,696
Habari
“Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo
Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni.. naomba anisaidie connection hiyo natanguliza shukran
Au mwenye bajaji ya bei hiyo ya 1.5m mpaka 2m anisaidie kijana mwenzake, mdogo wake ,mwanae
Sijali kuhusu body, mashine iwe nzuri inafanya kazi vizuri, hata wiki ndio niende garage, ukweli ni zipo bajaji nzuri kwa bei hiyo
Isiwe ya mkopo mtu akaniuzia kwa kunikomoa wenye bajaji yao waje kuichukua
Isiwe ya wizi, nitahaibika mjini hapa sina mtaji mwingine zaidi ya hii pesa niliyonayo
Mtu anaweza akawa amechoka na bajaji akaamua tu kuuza ila inaweza isiwe na tatzo lolote nitashukuru, sijali kuhusu kilometa iwe tu inafanya kazi vizuri na isiwe trip kwa fundi
Nawapenda wana jf