Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
509
Reaction score
543
Habari wanajf.

Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania,

Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora.

So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki.

Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana na michoro anipe list.

Anataka aaply this academic year

Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom