HahaDuuh! britanicca ukichukua tu namba ya huyu dada umekwisha.
Daah kukosea kuandika tu hapo mzuri kuwa mzuru ushashusha uaminifu kama utaiweza kaziHello. Kwa anae hitaji mtu mzuru wa mauzo. +255745623885
N typing errors tuu hizo mkuu, kama una nafasi ya kumsaidia fanya hvy then Mpe muda wa uangaliziDaah kukosea kuandika tu hapo mzuri kuwa mzuru ushashusha uaminifu kama utaiweza kazi
Ahsante🙌🙌