Natafuta tiba ya tonsils sugu bila kufanyiwa operation

stephenga

Senior Member
Joined
Sep 15, 2022
Posts
147
Reaction score
315
Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya.

Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena.

Siwezi maliza mwezi au miezi miwili sijalala kitandani sababu ya tonsils.

Nishajaribu dawa za kienyeji za kukoroga mchanganyo.

Antibiotics napiga zile kali kali kama koact na sindano sometimes.

Nilishawai enda kwa Ekenywa nikaonana na Dr akanicheki kwa screen akasema nipo level ya kufanya surgery yatolewe.

Kwa sasa sina bima ya afya na sina hela ya kutosha maana aliniambia OP yake ni kama million.

Pia kwa nature ya kibarua changu ata nikipitisha bakuli nikafanye operation, kazi haiwezi nisubiri mwezi mzima wa kujiuguza nitakuta washani replace.

So bado sijakata tamaa ya kupona.

Noamba mwenye uzoefu wa tiba mbadala halisia sio feki anisaidie mawazo, au hata tiba ya hospital ambayo inawezekana sijawai ifanya anasaidia mawazo. huu ugonjwa kuna muda nahisi unaweza niua maana umeniganda sana.

Karibuni mnisaidie!
 
Yani mkuu hizi nimetumia sana. Lakini siwezi choka ngoja nijaribu tena.
Mkuu , unaonekana kinga zako za mwili hazipo stable , kula matunda na mboga za majani kwa wingi sana , fanya mazoezi na upate mda mzuri wa kumpumzika .

Pia tumia sana kitunguu saumu na mdalasini kwa wingi
 
Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya.

Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena.

Siwezi maliza mwezi au miezi miwili sijalala kitandani sababu ya tonsils.

Nishajaribu dawa za kienyeji za kukoroga mchanganyo.

Antibiotics napiga zile kali kali kama koact na sindano sometimes.

Nilishawai enda kwa Ekenywa nikaonana na Dr akanicheki kwa screen akasema nipo level ya kufanya surgery yatolewe.

Kwa sasa sina bima ya afya na sina hela ya kutosha maana aliniambia OP yake ni kama million.

Pia kwa nature ya kibarua changu ata nikipitisha bakuli nikafanye operation, kazi haiwezi nisubiri mwezi mzima wa kujiuguza nitakuta washani replace.

So bado sijakata tamaa ya kupona.

Noamba mwenye uzoefu wa tiba mbadala halisia sio feki anisaidie mawazo, au hata tiba ya hospital ambayo inawezekana sijawai ifanya anasaidia mawazo. huu ugonjwa kuna muda nahisi unaweza niua maana umeniganda sana.

Karibuni mnisaidie!

Pole sana.

Kama daktari kakushauri ufanyiwe operation ni bora ukafanya hivyo.

Tatizo kwako hapo ni gharama ya hiyo operation, 1 million.

Ushauri: nafikiri unaweza kwenda kuonana na madaktari bingwa wa koo, pua na masikio (ENT surgeon) kwenye vituo vingine ambapo gharama ya operation hiyo ni chini ya kiwango ulichoambiwa huko kwingine.

Kila la kheri.
 
Pia kasema hata akifanya hio OP, kibarua kitaenda na maji , hatamsubiri apone...changamoto sana

Duh hii hatari sana,

Sijajua kwenye mkataba wake wa kazi kwamba mwajiri wake hajali afya ya mtumishi wake?

Nafikiri sheria humtaka mwajiri kujali na kuheshimu afya za wafanya kazi wake.

Kwa sababu mfanyakazi akiwa mgonjwa hata uzalishaji wake kazini huwa ni duni.

Utaratibu wa kwenda kutibiwa upo kila mahali ikiwemo kupatiwa kibali cha kwenda kutibiwa ambayo ni haki ya mfanyakazi.
 
Pia kwa nature ya kibarua changu ata nikipitisha bakuli nikafanye operation, kazi haiwezi nisubiri mwezi mzima wa kujiuguza nitakuta washani replace.

Ukifanyiwa operation ya kuondoa tonsils (Tonsillectomy) hautakaa mwezi mzima kusubiri.

Mara nyingi wanaofanyiwa hiyo operation huruhusiwa baada ya saa 24 au 48 ya uangalizi na toka hapo wanaweza kuendelea na shughuli zao za kawaida baada ya siku 7.

Kwa hiyo hilo la kusubiri kwa muda hadi mwezi mmoja halipo labda wale wanaofanyiwa operations za mifupa.

Kila la kheri.
 
Duh hii hatari sana,

Sijajua kwenye mkataba wake wa kazi kwamba mwajiri wake hajali afya ya mtumishi wake?

Nafikiri sheria humtaka mwajiri kujali na kuheshimu afya za wafanya kazi wake.

Kwa sababu mfanyakazi akiwa mgonjwa hata uzalishaji wake kazini huwa ni duni.

Utaratibu wa kwenda kutibiwa upo kila mahali ikiwemo kupatiwa kibali cha kwenda kutibiwa ambayo ni haki ya mfanyakazi.
Mimi nafanya kama kibarua
 
Pole sana.

Kama daktari kakushauri ufanyiwe operation ni bora ukafanya hivyo.

Tatizo kwako hapo ni gharama ya hiyo operation, 1 million.

Ushauri: nafikiri unaweza kwenda kuonana na madaktari bingwa wa koo, pua na masikio (ENT surgeon) kwenye vituo vingine ambapo gharama ya operation hiyo ni chini ya kiwango ulichoambiwa huko kwingine.

Kila la kheri.
Mfano kituo gani cha afya kwa dsm?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom