natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Inspire55

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

    Habari wakuu, Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta muhudumu wa counter na Chef kwenye Bar

    Natafuta mhudumu wa counter wa jinsia ya kike,pia natafuta Chef mwenye uzoefu wa kuchoma nyama ya ngombe na samaki. Niandikie message 0782003685 usipige, nitapiga. Kazi iko Bukoba mjini.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Manager wa kuendesha bar

    Natafuta experienced manager wa kuendesha biashara ya Bar, location ni Bukoba Mjini. For serious person niandikie ujumbe ili nikupigie 0782003685, 0754216810
  4. hansluvanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashati kama yale ya wafanyakazi wa DART

    ....
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mizinga ya nyuki

    Habari wadau, Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi. Mimi nipo Dar es Salaam Ila nataka kuiweka Mlandizi. Tafadhali Kwa anayejua wapi naweza kupata naomba msaada. Asanteni sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nijitolee kufundisha

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu,natafuta shule yoyoyte , msingi au sekondari dar er salaam, nijitolee kufundisha. Msingi ni masomo yote. Sekondari ni geography, General studies au civics. Natanguliza shukrani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya viwandani

    Habari za jioni wanajamvi, Nahitaji mchango wenu kwenye hili, Mimi ni mhitimu wa chuo kwenye course ya Bsc in industrial engineering management, natafuta kazi kitengo cha quality control. Ninamatumaini kutoka kwenu
  8. Mr mussa

    JamiiForums Tanzania Natafuta jiko la gesi kwajili ya kuchomea chipsi yale ya kutengenezwa

    Habari! Natafuta hilo jiko ambaye anauza tunaweza fanya biashara. Pia kama kuna mtungi wa gesi hii mikubwa nao nahitaji. Mawasiliano 0743451357. Hata ukinisaidia connection jinsi ya kuyapata utakuwa umenisaidia. Ahsante
  9. baba mausingizi

    JamiiForums Tanzania Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri

    Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D. Offer yangu ni milioni 7. Mawasiliano ni 0766049522.
  10. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea kama messenger nitume popote ntaenda

    Habari zenu wana jf Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula Kimakazi nipo dar njoo inbox
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

    Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary /nursery Upishi pia naweza Kaunta Hata uhasibu naweza mahesabu Kazi yoyote halali naweza kufanya...
  12. Darucha

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Business Partener

    Habari wakuu. ELIMU: Bachelor of science in Mechanical Engineering from University of Dar es Salaam. UZOEFU Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye masuala ya Machine design, Metal fabrication, Machine operation, Cost estimation, Project management, Leadership na mambo ya Management. KAMPUNI...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

    Habari za wakati WanaJF, Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma. Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari. Natanguliza shukrani zangu.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaa hivi

    Naomba msaada wapi nitapata Camcorder na accessories kwa ajili ya Live streaming.
  16. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Laboratory Assistant

    Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu. Namba ya simu 0625318808
  17. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji

    Habari, Mimi ni kijana wa kitanzania, ninaishi DSM.. ninajishughulisha na kazi za usanidi wa mifumo ya kompyuta (computer programming). Kampuni yangu mpya inaitwa sari technologies LTD. Je, umeshawahi kusahau documents zako au mzigo wako wa muhimu sehemu..? Je, umeshawahi kutaka kumtumia mtu...
  18. Darucha

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  19. kaffir

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used

    Habari wana jukwaa, Natafuta pikipiki uesd aina ya sanlg. Napatikana Dar. Mawasiliano karibu PM
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa

    Kwa aliyetayari kwenda kwenye hatua hii. Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home. Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na...
Back
Top Bottom