Ferister kitindi
New Member
- Jun 18, 2026
- 3
- 2
Habari wadau,
Natafuta nafasi ya kazi ya ustawi wa jamii (SOCIAL WORK) hata kazi zingine tofauti na taaluma yangu ZINAZOFAA.
Nina elimu ya chuo (kaliua institute of community development) Pia nina ujuzi katika matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, care giver.
Kwa mwenye nafasi au taarifa za kazi, naomba aniwasiliane kupitia 0791796439
EMAIL ferister804@gmail.com
Asanteni kwa muda wenu.