Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

evotec

New Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
3
Reaction score
2
Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT.
Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:-

Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati.

Nina Kampuni ambayo imefungua mradi wa Chuo Cha Kati.

Changamoto ni kwamba, wakati tunaendelea kujenga miundombinu (Nimepanga kwenye Ghorofa hivyo miundombinu ni partition). Kampuni ilipata changamoto ambayo nilipaswa kuikabili na ilinigharimu pesa nyingi, kupelekea kushindwa kukamilisha hatua za mwishoni zilizobakia, licha ya kukamillisha madarasa ma 3 ya 45sqm Kila moja na Ofisi 3, za waalimu 15sqm Kila moja, pamoja na furniture za Ofisini na Darasani. Bado natakiwa kuongeza tena Madarasa 3, na Ofisi 1, ili nipate usajili (full accredited) NGAZI ya Certificate na Diploma, kwa Mujibu wa Mamlaka ya Usajili, Kama mnavyoujua vyuo vya kati vinahitaji Mtaji uliochangamka, changamoto hiyo ambayo Kampuni ilipitia ghafla ilinitoa kwenye reli na kuniharibia BAJETI ambayo ilikuwa inakamilisha mahitaji yote ya kujenga na kusajiri Chuo kama nilivyokusudia. Na kinachoniuma ni Kwa sababu nilishatumia pesa nyingi tayari bila kufikia lengo, na ninavyozidi kusubiria nina lipia kodi.

Kwanini niliwaza kufungua Chuo eneo hili..?
Eneo hili ni eneo ambalo lipo katikati ya Mkoa ndani ya Manispaa X inayoinuka Kwa kasi kibiashara.
Nimeona fulsa ya Biashara ya Chuo Mkoa huu kutokana na kuonekana Kwa upungufu wa Vyuo (vyuo viwili tu vya Private Mkoa mzima).
Mwitikio wa Wakazi wa eneo hili kuwa na shauku ya kupata vyuo Bora Kwa ajili ya watoto wao kusoma, ambapo wengi wa watoto wao wameishia kukaa tu nyumbani baada ya kumaliza shule hata kama walikuwa na ufaulu mzuri wa kusoma chuo.
Eneo la uwekezaji, linavutia (Ghorofa jipya la NHC) kwa Wakazi na wanafunzi kutoka mikoa mbalimbali.

Nilijaribu kuomba Mkopo Bank, wananiambia wanakopesha Chuonkilichosajiliwa. So, nahitaji mtu mwenye malengo na maono kama yangu tuungane tufanye kazi.

Kununua Hisa.
1. Awe na uwezo wa kununua Hisa zenye thamani kuanzia 20mil kupanda juu.

2. Atapata faida kutokana na kiasi Cha fedha alichowekeza, mkataba ni ndani ya miaka 5. (Redeemable Comulative Preference Shares).

3. Kuanzia 50mil mpaka 200mil atapata faida ya 60% ya mtaji kwa kila Mwaka.

4. Chini ya 50mil mpaka 20mil, atapata 40% ya mtaji kwa kila Mwaka.

5. Atarudishiwa Mtaji wake kiasi kile kile alichowekeza baada ya miaka 5. Mfano: ameweleza 50mil. Atapata 30mil kama faida kwa Kila mwaka 5 x 30mil = 150mil baada ya miaka 5, na atarudishiwa ile 50mil sawa na atakuwa na 200mil.

6. Kama atahitaji kuendelea kuwekeza ili avune zaidi atatoa taarifa kwa maandishi na utatengenezwa mkataba mwingine mpya Kwa kiasi atakachohitaji kuwekeza.

7. Anaweza kuhamisha Hisa zake kwa Ndugu, Mke ama Mtoto anayemwamini ndani ya muda wa mkataba wake.

8. Hisa hizi zitashikiria umiliki wa Chuo na sio Umiliki wa Kampuni. Kwa sababu Kampuni ndio imeanzisha mradi wa Chuo, ndio itakayo shikilia % ya Hisa zinazobakia baada ya kutoa faida ya Mwekezaji.

9. Ikiwa mradi utapata Hasara, kisheria Kwa Mujibu wa aina ya Hisa anazowekeza (Redeemable Comulative Preference Shares), hasaza hizo hazitamuhisu mwekezaji, atakuwa na haki ya kulipwa kulingana na makubaliano.

10. Makubaliano yote yataongozwa Kwa Mujibu wa Sheria za ushikiriaji wa Hisa, na yatakuwa katika maandishi ya kisheria.

* Uwekezaji huu sio mpaka uwe na maono ya kuanzisha Chuo, la hasha, uwekezaji ni sehemu ya Biashara kama Biashara zingine, utofauti wake ni kwamba wewe mtaji wako unazumgushiwa na watu wengine na unapohotaji kuchukua mtaji wako baada ya kupata faida unauchukua. *

Biashara za Hisa, Hizi ndio Biashara zinazowainua wenzetu wa mataifa yaliyoendelea. Kwa sababu Biashara nyingi ndogo ndogo zimeingiliwa na wimbo la ushindani hivyo kuiporomosha thamani ya shilingi.

MTU YEYOTE WENYE MTAJI ANAWEZA KUUWEKEZA KWETU NA AKAPATA FAIDA KUBWA.

Pia hata Mwenye Maono ya Kufanya Biashara kama yangu hii ya Chuo namkaribisha aje tuungane, tuwasiliane inbox.

Karibuni Sana.
 
Matajiri wa kesho, karibuni tufanye Biashara. Tusiogope. Tuwekeze katika Hisa Moja Kwa Moja kwenye mradi, kuliko kuwekeza katika Kampuni ambayo hujui fedha Yako unakwenda Kuzalishwa kwenye mradi Gani, hiyo ni risk.

CHECK ME INBOX for more....
 
Back
Top Bottom