Habari wanajamii,
Natafuta watu binafsi, creators au timu zenye Original Content (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni.
Maudhui ninayohitaji ni pamoja na:
✓ Content iwe original na isiwe imekopiwa kutoka kwa creator mwingine.
✓ Muuzaji awe na haki ya kuuza au kushirikisha content hiyo.
✓ Video au maudhui yawe na ubora mzuri.
✓ Wenye uwezo wa kuzalisha content mara kwa mara watapewa kipaumbele.
Niko tayari:
Natafuta watu binafsi, creators au timu zenye Original Content (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni.
Maudhui ninayohitaji ni pamoja na:
- Burudani na maisha ya kila siku ya wanafunzi
- Elimu na maendeleo binafsi
- Mahusiano na changamoto za vijana
- Biashara na ujasiriamali wa wanafunzi
- Ushauri wa kazi, ajira na maandalizi ya maisha baada ya chuo
- Hadithi za mafanikio na changamoto
- Simulizi za kuhamasisha na kuelimisha
- Campus interviews na mijadala ya vijana
- Vipindi vya maoni, fikra na uzoefu wa maisha
✓ Content iwe original na isiwe imekopiwa kutoka kwa creator mwingine.
✓ Muuzaji awe na haki ya kuuza au kushirikisha content hiyo.
✓ Video au maudhui yawe na ubora mzuri.
✓ Wenye uwezo wa kuzalisha content mara kwa mara watapewa kipaumbele.
Niko tayari:
- Kununua content moja moja.
- Kufanya ushirikiano wa muda mrefu
- Kushirikiana na creators kutoka vyuo mbalimbali nchini.