Chaz Joe
Member
- Jul 3, 2019
- 13
- 38
Habari !
Natafuta kazi ya udereva wa magari ya abiria, taasisi au hata ya binafsi. Nina umri wa miaka 27 vyeti halali na leseni daraja D, C1, C2 na C3. Nina uzoefu wa miaka 3 katika udereva (NOAH + HIACE) Napatikana Morogoro, ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote ile. Kwa yeyote mwenye Connection nicheki 0766836175