Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:
Kwamba:
1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
Jamani nahisi mimi nimeshindikana!
Kuna vitu ambavyo wengine huwa wanateseka kuvipata lakini mimi wala huwa sina muda navyo japo naweza kuvinunua kirahisi, mfano:
1. Kitanda... Mimi huwa nikiweka godoro chini na shuka kwenye chumba safi naweza kukaa miaka yoyote bila kununua kitanda
2. Simu...
Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake
Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata...
Kila kitu kizuri kinachoonekana mbele ya macho yako leo.,elewa ya kua ni mipango ya watu nyuma. Maisha ni kama story yana kila hatua na matukio mbalimbali.
Yakuhuzunisha, kufurahisha na hata kuvunja moyo ila isiwe kama sababu kwako au pengine tunatofautiana mpango wa fedha kutokana na familia...
Eid Mubarak Wanachama wa Jf na watanzania wote.
Ninaomba tujadili hii kauli ya Mzee wetu Jaji mstaafu Mzee Warioba.
Kuna eneo la msingi na LENYE maana kubwa kwetu sisi watanganyika kuelekea 2025.
Karibuni Kwa mjadala.
====
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema viongozi...
Amosi Makalla
Tangu kuteuliwa kwa Amos Makala kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi, Uenezi na Mafunzo akichukua nafasi ya Paul Makonda baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii na hata miongoni mwa wana CCM maeneo mbalimbali wameonekana kutokubaliana na uteuzi wake na kuona...
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku.
Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni Bahati mbaya au ni kitu kilichopangwa na waandaaji, na bado hatujajua kama timu zote zinazoshiriki...
Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma.
Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category"
Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha.
Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha!
Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
Utakubaliana na mimi kuwa CCM inayumba sana kwa sasa kutokana na nafasi ya katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo taifa. Kila aliyeshika hiyo nafasi, kama hakupwaya basi aliishia kuwagawa wanaCCM katika makundi ya kuwania urais ama kutengeneza chuki dhidi ya wananchi.
Tatizo lilianza kuonekana...
Makatibu wa chama kwenye ngazi zote na vyama vyote wanateuliwa.
Wenezi wa chama wote wanateuliwa.
Wenyeviti wanapatikana kwa kura. Natafakari kwanini vyama vya siasa visibadili mfumo na nafasi zote zinazoambatana na mshahara basi zitangazwe watu waombe kama wanavyoomba huko serikalini...
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi...
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za...
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.
1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.