Nape: Wanasiasa wote wapewe nafasi sawa kwenye vyombo vya Habari

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi.

“Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya kujieleza. Ndio namna ambavyo tutaendesha siasa za nchi yetu. Rais Samia kupitia 4R zake ameelekeza, tuvumiliane, tufanye maridhiano, na haya ndiyo mambo ya kufanya, na Rais ameonesha kwa mfano.” – Nape Nnauye

Kwa upande mwengine Waziri nape amesema,

“Nitoe wito kwa wanahabari, timizeni wajibu wenu kwa kufuata sheria, Serikali haina mpango wa kuingilia uhuru wa wanahabari kutimiza majukumu yao. Kama kuna mahali watu wanaamua kutumia content [maudhui] yoyote wafanye kwa kufuata sheria, lakini hakuna kiongozi yeyote wa serikali ambaye ana mpango wa kuingilia uhuru wa vyombo vyetu vya habari kutimiza majukumu yao.”–Nape Nnauye

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
We
Sasa Kwa nini Machadema yanaenda uzushi? Wameishiwa kiki?
ni **** la mkubdu Tena wa bibi mzaa bibi yako mbwa wewe.matako yako mbwa wewe.
Huyo anayebwabwaja kwani tumemsahau alivyozima BUNGE LIVE.

Hao wote ni vinyonga ambavyo rais avitazame Kwa ukaribu.

Hana sifa,sema tu akili mdogo inatawala akili kubwa bongo.
Kambale wewe.
Ukinijibu,Kwanza jipige DOLE LA KATI AFU NUSA.
Hapo ndo uguse comment hii
 
Mtego
 
Mama kamsema kamwambia unataka kurudi mtama na Tax kama enzi za mwenda zako alipoporwa gari la uwaziri ikulu
 
We

ni **** la mkubdu Tena wa bibi mzaa bibi yako mbwa wewe.matako yako mbwa wewe.
Huyo anayebwabwaja kwani tumemsahau alivyozima BUNGE LIVE.

Hao wote ni vinyonga ambavyo rais avitazame Kwa ukaribu.

Hana sifa,sema tu akili mdogo inatawala akili kubwa bongo.
Kambale wewe.
Ukinijibu,Kwanza jipige DOLE LA KATI AFU NUSA.
Hapo ndo uguse comment hii
Sawa Sasa Kwa nini Machadema yalikuwa yanazusha kamba wamekataliwa efm?
 
Back
Top Bottom