Ma EX wake hawanihusu muhimu kwangu ni nafasi na muda wa kutosha wa kuwa naye

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,417
11,070
Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi.

Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa kunyandua, nakula nafaka, nakula asali, nakula maziwa, napiga konyagi asubuhi naamka na lita ya maziwa fresh na mlo wa maini roast, napiga zoezi two hours Toka 4am hadi 6am asubuhi.

Kila kitu najibu sawa, usijali, tupo pamoja, I love you 💯.

Mtihani wa kuwa muelewa napata marks 100% kwa kila demu. Siulizi maswali wala kuhoji, kauli yangu ni moja sisi wanaume tuna akili na uzembe wa hisia uwe makini.

Napiga shoo utadhani sitakula tena mbususu.

Acha maneno piga shoo meza itakaa sawa yenyewe.

Ni hayo tu 🙏🙏🙏

Wadiz
 
Uluyempenda sana alikuacha ukaja kugundua kupenda binadam ni kazi bure.

Fanya mapenzi kwa afya na sio kukomoana.
Umejuaje hujakosea nimepogwa sana za uso umapopenda unafanywa danga hakuna namna Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Back
Top Bottom