mwanza

  1. Diason David

    JamiiForums Tanzania JF members in Mwanza

    Habari ndugu, jamaa na wapendwa Nimekuja Mwanza kidogo, lengo la theard nilikuwa naomba kufahamiana na baadhi ya members humu, tufahamiane baada ya kuishi na fake identification sawa Nipo maeneo ya Mkolani Kati. Karibu sana kwa wanahitiji tuonane. Nipo leo na kesho narudi nilipo toka.
  2. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya "Piga kazi, Boresha Makazi" yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza

    Kampeni ya Piga kazi boresha Makazi yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza Nyumba bora na za Kisasa zimejengwa katika vijiji viwili vya Koromije na Mondo Wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Wakazi wa vijiji hivyo vya Mondo na Koromije wilaya ya Misungwi mkoa wa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la BAVICHA kuilipua Mwanza, Mnyika kuhutubia

    Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wakazi wa Hai wamezidiwa akili na wakazi wa Mwanza?

    JE, WAKAZI WA HAI WAMEZIDIWA AKILI NA WAKAZI WA MWANZA? Na, Robert Heriel Mambo yanazidi kubadilika kila siku, jana sio leo, juzi sio kesho. Mambo yanabadilika, wa juu anakaa chini, na wachini anakaa juu. Watu wa Kilimanjaro ni moja ya jamii ya Watanzania waliobahatika kupata wasomi wengi...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu alipowasili Mwanza aliahirisha kuzungumza alichokua amepanga baada ya kupata idadi ndogo wananchi

    Mwanza kunani
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

    Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga. Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza. Hapa Nyegezi ndipo...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watano mbaroni kwa utapeli wa kutumia majina ya Taasisi za Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation

    Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii. Wakisoma...
  8. budebajr

    JamiiForums Tanzania Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  9. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  10. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sihitaji kuwa Mkazi wa Mwanza tena la sivyo nitakufa na makachero

    SITEGEMEI KUWA MKAZI WA MWANZA, NITAKUFA NIKIWA MASKINI KUISHI MKOA HUU. Wananchi ni vibaraka wa kuharibu maisha ya Wazalendo, watumishi wa Umma vibaraka wa kupotoshea vyombo vya Usalama, wafanyakazi mashirika binafsi wapokeaji wataarifa za kurubuniwa. Yaani Mwanza nzima imemfanya DON...
  11. Nyam

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuniuzia dagaa za kukaanga kutoka Mwanza

    Wapendwa wana JF, Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu... Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye...
  12. lup

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao watakuwepo Nanenane Mwanza 2020 tupeane uzoefu na biashara na utauza nini

    Habari za asubuhi, Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla barafu halafu nikiashusha uwanjani na hivi jua lilikuwa limewaka nilikuwa namaliza tu nafata kisesa...
  13. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    Wakati Watumishi wote Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
  14. Dr Xolly BwanaHarusi

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kizazi kipya Mwanza kimuziki

  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uboreshwaji wa reli ya Nakuru hadi Kisumu kuanza, ili kuzidi kutia kapuni mizigo ya kwenda Rwanda, DRC na Burundi na Mwanza Tz

    Hizi ni jitihada za kuhakikisha reli bora inaunga kwenye bandari ya Kisumu iliyokamilishwa hivi majuzi, itasaidia pakubwa kuharakisha mizigo kuwafikia DRC, Rwanda na Burundi maana ikifika Kisumu inapokezwa kwenye meli. Izingatiwe hayo mataifa yanatumia pia bandari yetu ya Mombasa, na...
  16. danjaboy

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji na Umeme kero kuu ya wakazi wa Jiji la Mwanza

    Huku mgao wa maji huku umeme jiji limekuwa kama wanaishi wahuni hivi mkuu wa mkoa huwezi kutatua matatizo kama haya au mpaka aje Rais? Leo umeme pia ni kero tupu maji ndo kama hivyo tunakimbizana na madumu kila siku wakati maji yapo hapa tu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Duka gani Mwanza linauza playstation?

    nahitaji playstation kwaajili ya game mwanza zinapatikana wapi? au nisaidie mawasiliano yao
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Misungwi – Mwanza yaokoa shilingi 18,277,000/=

    UTANGULIZI: KUREJESHWA KWA SH. 10,000,000/= ZILIZOCHUKULIWA KWA UTARATIBU WA MIKOPO INAYOUMIZA WAKOPAJI Mnamo tarehe 21.05.2020 Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza ilipokea taarifa kutoka kwa Mwalimu Mstaafu aitwaye AUGUSTINE JOSEPH NGOWI kuwa amedhulumiwa mafao yake ya kustaafu...
  19. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya

    Deogratius Kisandu ambaye kwasasa anatambulika Kama DON NALIMISON kisheria, haya ndio yalikuwa mashitaka yaliyopelekea kufungwa japo alishinda kesi.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwanza yakumbwa na uhaba wa maji

    Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji! WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli! Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia...
Back
Top Bottom