Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
639
1,000
Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati unagharamiwa fedha za ndani tshs Bilioni 700.

Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3.2 na ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi

FB_IMG_16082834191406481.jpg
FB_IMG_16082834126430209.jpg
FB_IMG_16082834038108310.jpg
FB_IMG_16082833981423675.jpg
FB_IMG_16082833930894848.jpg
FB_IMG_16082833864687395.jpg
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,317
2,000
Naona wanapishana kukagua kila Siku! Juzi katibu wa wizara, ndani ya siku mbili naibu, ndani ya siku mbili tena kaenda mkurugenzi! Duuuuuuuh hadi mradi ukamilike mtakuwa mmeenda mara mia nne.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Takwimu za tafiti za saikolojia ya ubongo, concentration na intelligence zinaonesha kwamba dereva aliyeshikilia usukani kwa both hands ana additional advantage kubwa ya 27% zaidi katika kudumisha utulivu na umakini and hence less likely kuencounter accident as compared to wale wanaotumia mkono mmoja, hata kama mkono mwingine umetulia tu mahali hauko busy kwa vitu vingine.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,512

Well said, ila wachache watakuelewa
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
7,111
2,000
Ndio ni za ndani. Kwani ukikopa kisha ukaja kulipa hiyo ni pesa yako au ya mjomba au benki? Tumia akili?

Ukikopa weka wazi kuwa ni kwa mkopo, unaficha vitu kwa manufaa ya nani ikiwa unatupotosha walipaji?
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,512
2,000
Ukikopa weka wazi kuwa ni kwa mkopo, unaficha vitu kwa manufaa ya nani ikiwa unatupotosha walipaji?
Anakupotosha kivipi, tatizo mnakariri. Ukikopa hiyo ni pesa yako. Kwa mfano kale kagari kako ulikonunua kwa mkopo wa benki ulitangaza kwa rafiki zako?

Ndio maana ukikopa hakuna wa kukupangia cha kufanya kwani hizo ni pesa zako.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
5,904
2,000
Takwimu za tafiti za saikolojia ya ubongo, concentration na intelligence zinaonesha kwamba dereva aliyeshikilia usukani kwa both hands ana additional advantage kubwa ya 27% zaidi katika kudumisha utulivu na umakini and hence less likely kuencounter accident as compared to wale wanaotumia mkono mmoja, hata kama mkono mwingine umetulia tu mahali hauko busy kwa vitu vingine.
Kwa hii falsafa uliyotumia hapa, unadhani hata yule uliyekuwa unamjibu naye pia atakuwa amekuelewa?
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,127
2,000
Ndio ni za ndani. Kwani ukikopa kisha ukaja kulipa hiyo ni pesa yako au ya mjomba au benki? Tumia akili?
Hahahah, umemjibu vizuri, anasahau kwa mkopo si zawadi, mkopo maana yake unalipa tena na riba juu, kwahiyo si msaada, hivyo ni fedha za ndani 😂😂😂
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,230
2,000
Wanaofichwa ni wananchi bana.
Pesa ni yao na kwamba wao ndio wanapaswa kujulishwa kuwa tumekopa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom